baada ya miaka minne ndo umekuja kupost ,ulimwona daktari wa akili kabla
Jamani nina mpenzi wangu huu ni mwaka wa nne tupo pamoja tatizo ni kwamba tupo umri sawa (28) na tunapendana sana .
Sasa naombeni ushauri maana nasikiaga sio vyema mkifanana umri na huu mwaka I plan to get married with her. Jamani please help me.

Mmmmhhh ukimpenda mtu huwez kuanza kufukunyua sababu kama hizo.
Heheheee best nmefurah sana kukuona leo nmekumbuka yule mji.nga wa jana mlimkomesha licha ya uzi kufutwa
nipikie nasikia njaa