Bafuni ni mahali panijengeapo maamuzi sahihi

Bafuni ni mahali panijengeapo maamuzi sahihi

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,320
Reaction score
849
Tafadhali shufu kichwa cha habari hapo juu,

Zamani muda wangu muafaka wa kuwaza na kuwazua ilikuwa ni usiku kabla sijalala (measuring pros and cons) but nikaona inaniongezea stress sana usiku hadi nashindwa kulala, nikaamua kujiondolea mawazo muda wa kulala nikapanga iwe asubuhi nikiamka ndo niwaze critically ila nayo ilifeli kutokana na asubuhi ile kufumbua2 hai hai zakutaka kuamka na kufanya mengine ya siku ikanikosesha muda wa kufanya tafakuri binafsi.

After a long run nikajikuta kila nikiingia bafuni mawazo ya tafakuri huja automatically na kufanya maamuzi sahihi hivyo kunipelekea kuwa nachelewa sana kutoka bafuni na nikitoka huwa nafikia mara nyingi kwenye utekelezaji wa matokeo mazuri ya tafakuri njema ya bafuni.

Kitu kilichonifanya nijishitukie sana na kukiwasilisha km kilivyo nijue kama muda wa tafakuri katika maisha ni lazima au vipi.

NAOMBA KUWASILISHA:A S 465:
 
Ukiwa unakata gogo bwana ndio unakuwa unawazua vizuri. Jaribu hii Mastamind.
 
Kwa vyoo vyetu vya uswaz passport size harafu cha shimo itakuwaje?,na wapangaji 15 choo kimoja lazima wakuletee zogo pengine uingie saa 10 alfajir.
 
Ni pazuri ikiwa mazingira yenyewe ya hilo bafu ni mazuri kukuruhusu kuendelea kukaa juko kwa muda mrefu
 
i looove the feeling of a shower when ts hoot...nasahau matatizo yangu yote..
Stimu zinakata yakiwa maji ya kujimwagia na kikopo teh teh...
 
Kwa hio siku ukipata dharura ukashindwa kuoga kwa wiki hutowaza kabisa?
 
Binadamu wote tuko tofauti lakini inategemea ni wakati gani mtu anafanya kazi zake, wengine ni kazi za usiku na wengine mchana, kwa kufanya maamuzi na kuweka mambo sawa kwa mda wa kuoga ni sawa kwani unakuwa umechoka na shughuli za siku. Ukiwa umechoka unawaza na kuchambua mambo, kuliko ukiwa na energy nyingi.
 
Bafun ndo sehemu ambayo stak ata nipoteze dk 10, maana kuna time ilifikia ilinibid nioge maji CHUKU CHUKU bila ya sabuni
 
Back
Top Bottom