ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Sehemu ya kwanza
Ilikuwa ni siku ya jumanne mida ya saa kumi nambili jioni Mzee Ndesanjo alikuwa akiendesha gari aina ya Eskudo. Alifika nyumbani naharaka alishuka ndani ya gari kitendo cha kuingia ndani tu alianza kuita kwa sauti "Mama Joyce MamaJoyce" huko chumbani Mama Joyce alimsikia nakuitika "Abeeee Mume wangu,vipi mbona mbiyombiyo hivyo "?
Alihoji Mama Jocye huku akiwa anamuangalia mume wake kwa umakini. Mzee Ndesanjo ambaye nimume wa Mama Joyce, alionekana kuwa na wasiwasi mwingi huku akimsisitiza mke wake ajiandae haraka"Hakuna muda wa kupoteza, "Mimi ndani siingii nenda kajiandae tunasafari ya kwenda Morogoro,kuna matatizo yamejitokeza.
Rafiki yangu Mzee Simba ambaye tunafanyakazi ofisi moja amefiwa namke wake wake inabidituwahi kwenda msibani" Mama Joyce alinyamaza kimya kidogo kana kwamba kuna kitu anatafakari kwani ile habari ilimshtua "Mmmh jamani nini nitena kilimfika kwani alikuwa anaumwa! masikini" Aliongeakwa masikitiko"Alikuwa anaumwa na ameugua kwa muda mfupi sana,wewe nenda kajiandae tuondoke".
Mama Joyce akamjibu "Lakini mume wangu watoto tutawaacha na nani"? Aliuliza Mama Joyce. Wakati huo Jocye na mdogo wake aliyeitwa James walikuwa wameenda shule , Joyce alikuwa darasa la tano na James akiwa darasa la kwanza.
Na pale walipokuwa wakiishi ilikuwa ni nyumba ya kupanga Maeneo ya Kimara Stop Overjijini Dar es salaam. Baba Joyce alimgeukia tena mke wake" Hawa watoto tutamkabidhi jirani yetu Mzee Ngonyani na mkewe, kwani hatuendi kukaazaidi ya siku mbili wewe jiandae tuondoke wakirudikutoka shule watakuta maagizo kutoka kwa mke wa Ngonyani".
Baba Joyce aliongea kwamsisitizo. Kwa haraka Mama Joyce akaenda kwenye chumba cha Mke wa Ngonyanin akumwachia maagizo yakuwaangalia watoto wake kwa muda wa siku mbili.
Baada yahapo aliingia chumbani nakujiandaa tayari kwa safari, ambapo safari ilianza taratibu na baadaye Baba Joyce alionekana kuendesha gari kwa mwendo wa kasi "Mume wangu mbona unaendesha kwa kasi hivyo jamani punguza mwendo kidogo" Aliongea kwa kuonyesha hali ya uoga.
Baba Joyce alicheka kidogo nakusema "Acha kuogopa Mkewangu mbona naendesha katika mwendo wakawaida sana". Safari iliendelea wakiwa njiani maeneo ya Kidatu, ghafla gari lilipata pancha tairi ya mbele na kupinduka.
Ilikuwa ni ajali mbaya sana kwani Baba Joyce alifarik ipalepale na Mama Jocye alikuwa ameumia sana sehemu za kichwani hivyo wasamaria wema walimchukua nakumkimbiza hospitalini.
Baadaya wasamaria kumkimbiza hospitalini Mama Joyce ambaye kwa wakati huo alikuwahajitambui, Askari Polisi walifika eneo la tukiona kuuchukua mwili wa marehemu wa BabaJ oyce na kuupeleka chumba cha maiti hospitaliya Morogoro.
Gari lilikuwa limeharibika sana kutokana na ajali ilivyokuwa mbaya hivyo ulifanyika utaratibu wa kulisogeza hadi kituo cha polisi, wakiwa hospitalini Mama Joyce alikuwahajitambui kabisa.
Polisi waliamua kufanya utaratibu wa kufahamu ndugu ambao wangeweza kuwa naye karibu kwa wakati huo, mmoja wa wale Askari Polisi alimwambia mwenzake "Sasa tutafanyaje kuwapata ndugu zao kwani huyu mama hajitambui na mume wake amekwisha fariki inabidi tuwatafute iliwaendelee na taratibu nyingine".
Mwenzake ambaye alikuwa naye akamjibu na kusema "Inabidi tuangalie namba zilizopo katika simu zao ili tuweze kuwasiliana na nduguzao".........nini kitaendelea usikose suraya .....2........
KOSA LANGU NI LIPI
Sehemu ya pili
ILIPOISHIA
Polisi waliamua kufanya utaratibu wakufahamu ndugu ambao wangeweza kuwa nayekaribu kwa wakati huo, mmojawa wale Askari Polisi alimwambia mwenzake"Sasa tutafanyaje kuwapata nduguzao kwani huyu mama hajitambui na mume wake amekwisha fariki inabidi tuwatafute iliwaendelee na taratibu nyingine".
Mwenzake ambaye alikuwa naye akamjibu na kusema "Inabidi tuangalie namba zilizopo katika simu zao ili tuweze kuwasiliana na nduguzao".
INAPOENDELEA
Yule Askari bila yakupoteza muda, alichukua simu ambayo ilikuwani ya Baba Joyce nakuangalia namba zawatu mbalimbali, akiwa anatizama nani wakumpigia simu, alijaribu jina ambalo aliliona kwenye simu lilikuwa limeandikwa Mkurugenzi.
Alijaribu kuwasiliana kw anamba hiyo bila mafanikio kwani ilikuwa haipatikani, naalijaribu namba kama tatu zote zilikuwa hazipatikani. Ndipo wakaamua kuchukua simu ya Mama Joyce nakuangalia namba nyingine katika simu hiyo.
Kwa bahati nzuri walikuta namba ya Mkewa Ngonyani ambayo ilikuw aimeandikwa Mama Ngonyani. Askari alipiga simu ya Mama Ngonyani iliita kwa mara ya kwanza bilakupokelewa hadi ikakata, lakini waliendelea kujaribu hatimaye simu ilipokelewa. Mama Ngonyani ambaye ni jirani wa Mama Joyce aliyekuwa amekabiziwa watoto alipokea ile simu akijua mke wa Ndesanjo ndiye aliyempigia simu .
"Habari yako Mama Joyce, samahani nilikuwa mbali na simu vipi mmekwishafika?" Yule Askari aliyekuwa anasikiliza ile simu alinyamaza kimya kidogo na kusema" Samahani mama unazungumza na Askari Polisi kutokaMorogoro"kabla hajaendelea Mama Ngonyani alimkatisha nakusema kwa mshangao,"Askari! kwani kunanini tena Mama Joyce yuko wapi?"
Aliuliza Mama Ngonyani yuleAskari akamwambia "Usijali Mama kwani wewe unamfahamu vipi Mama Joyce?" Mama Ngonyani akamjibu" Mama Joyce ni jirani yangu na pia ni rafiki yangu na wameenda Morogoro na mume wake kwenye msiba.
Sasa nashangaa kuzungumza na askari kupitia simu yake kwani kuna tatizo?"Alizungumza Mama Ngonyani huku akitaka kufahamu nini kinaendelea.
Askari akamwambia kilekilichotokea "Mama Joyce na mume wake wamepata ajali, maeneo yakidatu. Na hapa ninapozungumza nipo Hospitali ya Morogoro. nadhani nivyema ungewajulisha nduguzake ili waje haraka"Aliongea yule Askari lakini hakumjulishakama Baba Joyce alikuwa amefariki.
Kwa mshtuko wakuambiway ale maneno Mama Ngonyani akasema "Ajali? Mungu wangu jamani, kwa hiyo wanaendeleaje sasa, nduguzake siwajui mimi ninachojua hawana ndugu zaidi ya watoto wao wawili Joyce na James, ambao wapo hapa nyumbani.
Ni watoto wadogo, sijui nifanyeje jamani" Alizungumza maneno mengi kana kwamba mtu aliyechanganyikiwa. Kumbe masikini Mzee Ndesanjona mke wake walikuwa hawana ndugu zaidi ya watotowao, yule Askari alimsisitiza mama Joyce afike hospitali kwani kulikuwa hakuna mtu wa kumuhudumia Mama Joyce.
Mama Ngonyani alimjulishamumewe naharaka walijiandaakwa safari ya Morogoro,hukuwakiwaacha Joyce na Jamesbila kuwajulishakilekilichotokea. WalipofikaHospitalini ndipowalipogunduakuwa Baba Joycealikuwaamefariki, na hali ya MamaJoyce ilikuwambayasana.
Haraka waliendakumuona Daktariambayealiwaeleza hali halisi kwambaiwapoMama Joyce akizindukakuna uwezekanoasikumbukechochote kilichotokea.
Kwanialikuwa ameumia sana maeneoyakichwani, maneno hayoyaliwasikitisha sanaMamaNgonyani na mume wake.Walikaa nakutafakari kwamasikitiko na baadayewaliendakuungalia mwili wamarehemu katika chumbachakuhifadhia maiti.na kishakuwasiliana najamaa namarafiki ili kusaidiana katikataratibu zamazishi.
Wakati huo Mama Joycealikuwahajitambuiwalimuhamishia HospitaliyaMuhimbili Dar es salaamkuendelea namatibabu. Hukonyumbani mazishiyalifanyika,vilio na simanzi vilitawala,watotowalilia sana kwauchungu na hatakupotezafahamu huku wakiwa hawajuininihatima ya Mama yao mzazi.
Hapo ndipo maishaya Joyce namdogo wake yalianzakubadilika. JENINI KITAENDELEAUSIKOSE SURA YA...3...Usikose!