HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
Here we go again!
Ni muda mwiingi sana naingia JF, nachungulia, halafu naondoka bila ku-comment kwahiyo nimeona bora nianzishe haka katopic ili tuweze kujadiliana kwa uwazi swala la watu kulinganisha ndoa za Siku na ndoa za baba zetu na bibi zetu.
Jambo linaloudhi ni pale topic linapoegemea upande mmoja, Mara nyingi ni wanaume wamekuwa wakilalamika Kuwait wanawake wamebadilika, hawana heshima, nidhamu wala mioyo ya kukaa kwa amani na waume zao, hivyo husababisha ndoa kusambaratika.
kwa upande wangu mimi, naweza nikatoa sababu kadhaa kueleza sababu inayowafanya wanawake waonakane wamekosa uvumilivu na nidhamu:
- tumeshuhudia vya kutosha kupitia mama/shangazi/bibi zetu mateso waliyopitia kwenye ndoa zao. Ni vigumu kwa wanaume kujua baba zao walikuwa wanafanya mambo gani sababu by nature ya wanaume (at least wanaume wa kipindi hicho) walikuwa wasiri mno. Wa Siku hizi wanapenda kuanika mambo hadharani ( see topic 1000+ zinazohusu michepuko, kutongoza hovyo, etc). Just because mama didn't say anything doesn't mean she respected you, she just didn't have anywhere to go. Now that we women are independent, you cannot treat us like garbage and expect to be treated like a king in return.
-Men did not appreciate the good things they had. Wanawake walikuwa wanatunza bikra lakini tukaja kugundua Kuwa bikra haimaanishi mmeo hatachepuka, haimaanishi atakuheshimu zaidi. There just is no guarantee. They want to be the first to open your box, but they're ok with other open boxes as long as they're not married to it!
- wanaume, you think you can behave the same way your fathers did and get the same results they did. You are wrong. Women changed, and so must you.
*nitarudi, gotta get my family ready for the weekend***