Wana JF heshima na salam ziwe juu yenu.
Katika kautafiti kangu kadogo ambako nimekafanya kwa mda mrefu sana kuhusiana na masuala ya ndoa nimegundua kuwa ndoa za jamii ya kihindi, waarabu na...
kutokana na nature ya uke wa mwanamke wa kusinyaa na kutanuka kumeibuka teknolojia ya kuurudisha usichana yaani bikira,Hii teknolojia kwa upande mwingine imekua ikibadili tafsiri ya bikira ingawa...
Eti unene wa wake unawafanya wanaume kuwa na mipango ya kando?
Je ni kweli wake wanaponenepa upita kiasi ndio sababu ya waume zao kuwa na mipango ya kando?
Nchini Kenya mjadala umezuka...
Nimekuwa nikiaangalia series moja hivi inaitwa orange is the new black,uko ndani kuna dada moja humo nmekuwa nikimtamani sana.
Nimeangalia movie na series nyingi ila hii hali ya kumpenda demu...
Wadau!
Hivi kabla ya kuoa\kuolewa kuna haja ya kuangalia kazi anayoifanya mwenzi wako kama ni ya shift au lah?
Kuna kazi ambazo zinafanywa kwa shift mfano Polisi, Daktari, Nesi + baadhi ya...
Dada ako aliingilia mazungumzo kati yangu na mbaya wangu. Alitaka kujua naelekea wapi. Nikamjibu mwenge. akaniomba tuzungumze kwa dakika chache, kabla hatujaachana, kwa sababu anataka kwenda...
Jamani mwenzenu yamenikuta, nimetokea kumpenda mtoto mmoja wa kiarabu (mie ni mswahili mkaa tii) na bahati mzuri mtoto nae kakolea tena mbaya. Shida ni moja tu, kuna Jini moja la Kiarabu nalo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nipo dar es salaam,nina umbo la wastan na si mrefu sana,rang yang ni brown,ninajishughulisha...Natafuta mwanamke mnene kiasi mwenye miaka 27-37 mwenye...
pole na kazi na mfungo wa ramadhan wana jf,mim ni kijana ambae tem iliyopita niliutupia uzi mkali wa kusaka mchumba,ila nimejikuta kujilaumu kwa hlo kwani mchumba niliempata ananipa wakati mgumu...
Mkaguzi wa madawa na mfamasia Manispaa ya Dodoma amewataka wasichana kuachana na matumizi ya sabuni zinazodaiwa kutumika kunawia sehemu za siri kurejesha ubikira kwamba husababisha saratani kwenye...
Wakuu embu naomba tusaidiane (hasa wataalamu wa mambo ya nyota na mlango wa sita wa fahamu na mambo ya mahusiano) Inakuaje mtu kwenye maisha unakutana na kupendwa na wanawake ambao wana mambo ya...
Sifa za ninayemtafuta umri 20-25, atleast post secondary education, umbo lolote ila asiwe mnene sana (bonge), sura ya kuvutia kiasi, tabia njema, asiye na mtoto na awe tayari kuchek afya, awe...
Baada ya upweke wa muda mrf kwangu,nimejikuta kumpa mpenz wa roho yangu,today nimeamua kumurusha live wana jf mmjue,anaitwa seniorita precious,nashukuru sana jf kwan kupitia nyie nimempata mchumba...
natafuta rafiki wa kike mwenye asili ya pwani, yaani Tanga, mombasa, au zanzibar.....asiwe na umri zaidi ya miaka 22 anitumie email yake kwa mawasiliano zaidi
Kwa jina naitwa abel j,ni mkazi wa iringa,nina miaka 25,nimechoka kuwa peke angu kwa muda mrf sasa nataka niupate ubavu wangu,namtafuta mwanamke wa kawaida sana kimaisha,mpole,mkristo,mwenye...
Dada yetu tulimsomesha wenyewe ajabu baada tu ya kupata ajira akaleta mpare mmoja nyumbani eti anataka kuolewa, sasa tangu aolewe hajui ATM inafananaje wala ina rangi gani jamaa kateka kadi ya...
"Be completely open about your finances with your spouse; you will avoid a lot of problems that way"
(Kuwa wazi kabisa kuhusu fedha zako kwa mwenza wako; utaepuka matatizo mengi kwa njia hiyo)...
Ilikuwa mwaka 1988 wakati huo nikiwa nafanya kazi jijini Tanga katika ofisi ya mkuu wa mkoa baada ya kupata kazi katika ule mpango wa direct employment. Nilifanya kazi mkoani Tanga kwa mwaka mmoja...
Kama mtakumbuka wiki ilopita ndo nimepeleka barua ukweni japo palitokea lapsha kidogo, wengi mmenishambulia na kunitisha nimekosa mke, dua la kuku.
Barua imejibiwa twende kupanga mahali, japo mke...