Wakuu embu naomba tusaidiane (hasa wataalamu wa mambo ya nyota na mlango wa sita wa fahamu na mambo ya mahusiano) Inakuaje mtu kwenye maisha unakutana na kupendwa na wanawake ambao wana mambo ya aina moja tu(category flan hivi).
Mfano unakuta unapendana na
1. Wanawake ambao wamelelewa na mzazi mmoja tu(na huwa napata nao tabu sana) na mwishoe mahusiano huwa hayafanikiwi( idadi kama watano hivi)
2.Ukitoka hapo unakuta napendana au kupenda na wanawake ambao wamesha zalishwa tu au wake za watu au watu wazima (walionizidi umri)(idadi kama 6 hivi)
Hii inasababishwa na nini? hasa maana ni categories ya wasichana ambao nimekuwa nao na kunipenda sana lakini sina bahati ya kupendana na wasichana wa kawaida.
Yaani mzunguko unakuwa hapo hapo wake za watu, waliozaa au watu wazima au mtu aliyelelewa na mzazi mmoja.
NB, sitaki kuamini kwamba ni gundu na wanawake ambao wana mambo ya aina moja tu .