kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,380
Wadau!
Hivi kabla ya kuoa\kuolewa kuna haja ya kuangalia kazi anayoifanya mwenzi wako kama ni ya shift au lah?
Kuna kazi ambazo zinafanywa kwa shift mfano Polisi, Daktari, Nesi + baadhi ya kazi za viwandani, zinazofanywa usiku...
Hili likoje wadau?
Unaoa\unaolewa lakini baadhi ya siku inakulazimu kulala mwenyewe, kumbuka shift nyingine ni za wiki (anakuwa night wiki nzima)...
Je, kuna umuhimu wowote wa kulizangatia hili kabla yakuingia kwenye ndoa?
Do this bring any challenge in marriage?
CC: shansarie, KOKUTONA, Heaven on earth, Passion Lady, Lady doctor...

Last edited by a moderator: