Nashare penzi na Jini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashare penzi na Jini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by fiksiman, May 29, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamani mwenzenu yamenikuta, nimetokea kumpenda mtoto mmoja wa kiarabu (mie ni mswahili mkaa tii) na bahati mzuri mtoto nae kakolea tena mbaya. Shida ni moja tu, kuna Jini moja la Kiarabu nalo limefika bei kwa demu wangu na amekuwa akiniharrass mara kwa mara.

  Habari iko hivi, huyo mtoto ni mtu wa dini sana, na mimi kidogo naifahamu nilipitia madrasat kwahiyo alifu bee naipata kimtindo. tumekuwa wapenzi kwa takribani mwaka sasa. Kinachoniuma zaidi sijaona ndani toka niwe nae. Mwanzo alikuwa tayari kuniachia vitu ila nikagundua ni bikra hivyo nikaona si vema nimtoe nyoka pangoni na soksi, basi nikamwambia tusubiri lengo langu nikapime ili nile majambozi kavu kavu bila kumdhuru. Ilinichukua miezi sita kwenda kupima na bahati nzuri nikajitu Ahueni. Kumbe muda wote huo yule Jini alikuwa anamlia timing.

  Siku moja usiku sana wakati narudi home kutoka job (nilikuwa naua winga maeneo fulani nikagongana na hilo lidude...alikuwa kapiga msuli na fulani pamoja na kofia). Sikumtambua kama ni jini kwani alikuwa kawaida sana. Akaniita jina langu kama mtu anaenifahamu, nikasimama kumsubiri. Kitu cha ajabu hakuwa mbali na mimi ila ilimchukua dakika 35 hivi kufika japo nilikuwa namuona akitembea kwa kasi. Alipofika akanipa mkwara kuwa niachane na demu wangu kwani yeye amepanga kumuoa na mimi namtilia kiwingu. Then akapotea kiajabu. Toka siku hiyo amekuwa akinitokea na ujumbe ule ule.

  Siku moja niliona bora nile vitu kabla mambo hajaharibika. Ile mtoto anamalizia kuvua kufuli tu, akapatwa na siku zake ghafla. Na hadi leo ndo hali iko hivyo tukitaka kula vitu anapatwa na siku zake. Kibaya zaidi nahisi huyo jini kanizidi kete kwani yule mtoto alinisimulia ndoto moja kuwa aliota anakula vitu na mimi na alipoamka akajikuta kaliwa kweli vitu, na hutokewa na hizo ndoto kila alhamis ya pili ya mwezi. Ila hajui kinachoendelea, na yule jini hunitokea usingizi akinicheka sana.

  Jamani naombeni ushauri, sio fiksi ni kweli kabisa, inaniuma sana.
   
 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jina lako tu linajieleza (fiksiman)
   
 3. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Yaani nanyimwa uhuru wa kusema ukweli kwa kuwa jina langu fiksi, nisaidieni jamani mwenzenu nimekuwa mpweke kwa muda mrefu sasa. Nimejaribu kudonoa mitaa mingine lakini wapi, kuna wakati kaptain aligoma kusimama kwa mawazo
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Unahitaji maombi!
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  May 29, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Acha dhambi, okoka (mkiri Yesu kwa kinywa chako na kuamini moyoni kwamba Mungu Baba alimfufua katika wafu), usitende dhambi tena yasije kupata makubwa zaidi! Kisha tafuta mke atokaye kwa BWANA. Huyo mwarabu na jini lake achana naye, utakufa siku si zako!
   
 6. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,257
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  yaani dakika 35 umekodolea tu macho jitu usilolijua!!? mkuu unaonekana u mtunzi mzuri keep it up
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hadithi za Alfu lela u lela, siku elfu moja na moja.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Fixman umerejea na singo mpya ..lol
   
 9. k

  kizimkazi Member

  #9
  May 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  itabii mkitaka kujamiiana mlalie kitanda cha kamba,kilichotengenezwa kwa mti wa mbaazi. jini hatokuja.
   
 10. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mtindio kwanini unapenda nionekana mi mzushi eeh mi nawakilisha masuala ya msingi ambayo yamenintoa na nahitaji msaada wenu...huwezi jua hata wewe unaweza kujikuta mikononi mwa hayo madude tena bora upate mume mwenza kuliko akikumaind wewe (tena nasikia ya kike yanawivu kinoma).
   
 11. k

  kizimkazi Member

  #11
  May 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ya kike yanakufanya perepete, kila ukiwa nje unachukua kasi ukiingia ndani perepete.midude mibaya kweli,dawa yao ndo hio mbaazi tu.lakini hiyo kikwetu,sijui kibara kama kuna mti mwengine.
   
 12. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2014
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hataree!
   
 13. suregirl

  suregirl JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2014
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 6,092
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Tafuta sheikh awasomeee au mwalim.haswa aseme huyo jin.anataka nin
   
 14. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2014
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,922
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  try to get one shot of him,we need to see his appearence
   
 15. d

  delako JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2014
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  pole sn.UNGEKUWA MGARATIA UNGEGONGA ILE MBUZ KATOLIKI NA KM 2 ZA BARIDIIIIIIIIII.
   
 16. l

  loyda JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2014
  Joined: Jun 30, 2014
  Messages: 430
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah una moyo sana,me naona isiwe tabu madame wapo weng muachie jini mkewe jikatae tu jombaa!
   
 17. Ntenya

  Ntenya Member

  #17
  Jul 23, 2014
  Joined: Jul 16, 2014
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujitambui wewe, mpokee yesu kwanza kesi yako ndogo.
   
 18. M

  Magem New Member

  #18
  Jul 23, 2014
  Joined: Jul 11, 2014
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako utapona. na uachane na huyo mdada au nae aokoke mtaponaaaa
   
Loading...