Hakuna kitu kinachoitwa mapenzi

Hakuna kitu kinachoitwa mapenzi

aceroty

Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
52
Reaction score
30
Kwangu mimi mapenzi yako hivi:

+demu anayevutia(sura na shepu nzuri)
+yuko chini ya miaka 26
+hanuki
+ana nywele ndefu
+anajua kupika
+anavaa vizuri
+ni mwembamba
+hana kitambi
+hafanyi kazi za ofisini
+anavaa viatu virefu
+hajazaa n.k..

Kwa mtoto wa kike mapenzi kwake kwa mwanaume yako hivi:
+huboi
+una uwezo kifedha
+unavutia kwa wanawake wengine
+humjali
+una misuli
+una akili za maisha
+hucheki
+hulii siku za misiba
+unajua kucheza na hisia zake
+hukumbuki siku yake ya kuzaliwa
+unaogea naye pale unapotaka kumto..........a

Mwanaume au mwanamke anapotimiza vigezo vilivyoandikwa hapo juu, basi ujue ya kwamba ndio "amependa''.
 
naamini umri wako unakuruhusu kuandika hicho ulichokiandika.... ila ukiwa mkubwa ndio utajua kwamba kuna mapenzi!
 
Dah mkuu...lemmie grab a book!


selfie.jpg
 
Kwangu mimi mapenzi yako hivi:

+demu anayevutia(sura na shepu nzuri)
+yuko chini ya miaka 26
+hanuki
+ana nywele ndefu
+anajua kupika
+anavaa vizuri
+ni mwembamba
+hana kitambi
+hafanyi kazi za ofisini
+anavaa viatu virefu
+hajazaa n.k..

...mwanamke anapotimiza vigezo vilivyoandikwa hapo juu, basi ujue ya kwamba ndio "amependa''.

Hivyo ni vigezo vya mvuto aka attraction, siyo mapenzi.

Umemaliza Form Six mwaka huu?
 
Mmh....naktambi wangu huu bas nsngekuw na mpenz mtoto wa kike mm..but wanankubalje...acha tu . sjui umefanya research kichochoro gan au sjui umeamua kuropoka tu...
 
Kwangu mimi mapenzi yako hivi:

+demu anayevutia(sura na shepu nzuri)
+yuko chini ya miaka 26
+hanuki
+ana nywele ndefu
+anajua kupika
+anavaa vizuri
+ni mwembamba
+hana kitambi
+hafanyi kazi za ofisini
+anavaa viatu virefu
+hajazaa n.k..

Kwa mtoto wa kike mapenzi kwake kwa mwanaume yako hivi:
+huboi
+una uwezo kifedha
+unavutia kwa wanawake wengine
+humjali
+una misuli
+una akili za maisha
+hucheki
+hulii siku za misiba
+unajua kucheza na hisia zake
+hukumbuki siku yake ya kuzaliwa
+unaogea naye pale unapotaka kumto..........a

Mwanaume au mwanamke anapotimiza vigezo vilivyoandikwa hapo juu, basi ujue ya kwamba ndio "amependa''.

Toka ujiunge JF leo siku ya 18!
Inaelekea ndio kwanza umemaliza chuo na sina hakika kama umepata ajira.
Ukipata ajira au kama unayo tayari vyovyote vile baada ya miaka mitatu vigezo vyako vingi vitakufa "natural death"
Kwa sasa endelea endelea kupata uzoefu wa maisha
 
Hivyo ni vigezo vya mvuto aka attraction, siyo mapenzi.

Umemaliza Form Six mwaka huu?
kwani hao si wameshaenda depo? labda ni wa o level wanaovuta ka likizo...
 
+hajazaa ila au amechoropoa za kutosha?
+humjali hii sijaielewa vizuri
+hucheki hahahahahaha anakuwa katolewa bandama?
+hulii siku za misiba hahahahahahah nimeipenda
+hukumbuki siku yake ya kuzaliwa mmhhh hii tutagombana kwa kweli
 
Kumbuka una wazazi kijana,haya hebu jiulize kama wazazi wako wana mapenzi ama la!!!!
 
katafte kitabu kinaitwa "How to think like a computer scientist" usomesome kdg upate kitu kipya acha kupoteza muda..
 
Back
Top Bottom