Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
pole na kazi na mfungo wa ramadhan wana jf,mim ni kijana ambae tem iliyopita niliutupia uzi mkali wa kusaka mchumba,ila nimejikuta kujilaumu kwa hlo kwani mchumba niliempata ananipa wakati mgumu coz nina mawasiliano nae kwa muda miez miwili tunachati tuu na hataki nimpigie cm nisikie saut yake ila anataka tuchati tuu,nikimuuliza kwanin hvyo,ananijibu ipo siku ntasikia saut yake na syo leo,na kanitumia pesa kibao tena bila kuombwa,anadai ananijali ila naogopa kwanin hatak nisikie saut yake!nimemuomba mara nying nimsikie najibiwa siku bdo haijafika ya kumsikia,kusema kwel maji yamefika shingon ,nimechoka kabisa wapendwa nimefikia mahal pa kufikilia kuchange namba,kwan anatuma pesa nyingi si mchezo na hatak nimsikie,na anachat kwa kiingeleza vizur sana kulko kiswahli,nisaidien kwa kuni pm au kunitumia sms kupitia 0763175935