Money matters in marriage

Money matters in marriage

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
1,198
Reaction score
900
"Be completely open about your finances with your spouse; you will avoid a lot of problems that way"

(Kuwa wazi kabisa kuhusu fedha zako kwa mwenza wako; utaepuka matatizo mengi kwa njia hiyo)

Hayo sio maneno yangu yameandikwa na Chris Hurt a columnist on sunday nation.
Ye great thinkers mnasema nini hapa.
 
sio mademu wa siku hizi, ukijifanya mkweli wakati huna hela utakufa na ulalu wako... wadanganye danganye kwanza, mpaka wajue we ni kapuku ushamzalisha ka wawil hivi!!!!
 
Hahahaha junior mpaka akuzalie tayar keshakujua in and outMi nakubaliana nae coz mda mwingine mnajiponza
 
116936.jpg
 
"Be completely open about your finances with your spouse; you will avoid a lot of problems that way"

(Kuwa wazi kabisa kuhusu fedha zako kwa mwenza wako; utaepuka matatizo mengi kwa njia hiyo)

Hayo sio maneno yangu yameandikwa na Chris Hurt a columnist on sunday nation.
Ye great thinkers mnasema nini hapa.

True, i think ni vizuri zaidi kabla hujaingia kwenye ndoa ujue kabisa financial position ya huyo mwenza wako
 
True, i think ni vizuri zaidi kabla hujaingia kwenye ndoa ujue kabisa financial position ya huyo mwenza wako

Inatakiwa liwe ni jambo la kuendelea na sio kabla ya ndoa kushare na kudiscuss mambo ya fedha pamoja, investment opportunities, vipaumbele vyenu katika maisha na pia kila shilingi imepatikana vipi.
 
Inatakiwa liwe ni jambo la kuendelea na sio kabla ya ndoa kushare na kudiscuss mambo ya fedha pamoja, investment opportunities, vipaumbele vyenu katika maisha na pia kila shilingi imepatikana vipi.

ofcoz ni lazma ujue chanzo cha mapato sio unaolewa na mtu hujui ana elimu gani, anafanyakazi gani au biashara gani, alimradi unamuona ana maisha mazuri unaingia tu kichwa kichwa aisee hapo majuto hayatakuwa mbali
 
Wengi hatuko wazi na tunapataje pesa zetu, na asilimia kubwa ya walio wazi either hawatasema wameipataje au wamepata kiasi gani. The more the money the better ilikopatikana very few bother to ask.

Uwazi pia kwenye matumizi, tunasemaga kabla au hata baada ya kufanya manunuzi nje ya budget?
 
sio mademu wa siku hizi, ukijifanya mkweli wakati huna hela utakufa na ulalu wako... wadanganye danganye kwanza, mpaka wajue we ni kapuku ushamzalisha ka wawil hivi!!!!
NadhNi hujaelewa hoja ya mrusha mada hapo juu. Kujifanya mkweli wakati huna hela hujawa mkweli kaka. Huna hela sema sina hela, sio unakopa 20,000 kwa rafiki yako kwenda kutongozea demu, halafu unajisifu kwake kuwa unazo. Ndo nyie unadate na demu hotel kubwa, mwenyewe unaishia kunywa maji, na demu unamwambia ale anachotaka, eti ulishakula lunch wakti huo ni saa sita na nusu mchana
 
..si rahisi coz lazma upande mmoja(kama wote mna vipato)hautaweka wazi vipato vyake, hasa wanaume.. Lakini pesa ni muhimu sana ndani ya nyumba..it brings peace n' harmony!! Au iwe shetani, kaaaz sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom