Wanawake wamewazidi wanaume kwa mambo haya?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau...
 
wanaweza kuolewa hata 7 mtu mmoja lakini mwanaume hawezi kushea na mume mwingne
 
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.

Hapa si mara zote. Wapo wanawake ambao hawawajui baba halisi wa watoto wao.

5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.

Hii nayo inahitaji qualification kwa sababu siyo absolute.

6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.

Ninja pliiiz. Huo ni usasili.

7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.

Uumm....hii nayo inahitaji qualification. Huwezi tu kuishi na kupendeza bila kufanya shughuli yoyote ile.
 
Hapa si mara zote. Wapo wanawake ambao hawawajui baba halisi wa watoto wao.

Hii nayo inahitaji qualification kwa sababu siyo absolute.

Ninja pliiiz. Huo ni usasili.

Uumm....hii nayo inahitaji qualification. Huwezi tu kuishi na kupendeza bila kufanya shughuli yoyote ile.

Ohhhh...ngoja waje wakweli watafunguka mbona wengi tu hapa mjini na tunawajuwa wanaishi bila kazi wala biashara.
 
7. it cnt last for so long

10. tuna viatu vingi kuliko wanaume
 
nyingine wanaakili ya kumjulisha tu... yani kama ni wapenzi na wote mnavipato atatumia pesa yako tu, ya kwake haiguswi
 
Wanaweza.kulalaa na.wanaume zaidi ya wa5 kwa.siku.na usijue...
 
Nahisi kuna vipengele vinaelekea kubadilika, kuna wanaume wanapendeza siku hizi wanawake tupa kule! Wanabadilisha nguo na kuoga zaidi ya wanawake, unamjua Ben Kinyaiya wewe? Kuna yule mwanamitindo kijana hivi Mwarabu sijui Mhindi jina lake limenitoka, hao ni mfano tu bado mitaani tunakoishi nao
 
Remtullah...
 
nyingine wanaakili ya kumjulisha tu... yani kama ni wapenzi na wote mnavipato atatumia pesa yako tu, ya kwake haiguswi
Sasa ifanyiwe nini??
Ezden kutumia za Dida tena ndoani watu mlichoooonga
 
Back
Top Bottom