kuwa na weledi na subraa

kuwa na weledi na subraa

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,064
wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini
 
samahani natumia tecno tochi.unakuta mtu alichochangia kwa mada ni tofauti na mada yenyewe na anajifanya ana welediwajuu
 
We mwenyewe hueleweki acha visingizio.
 
Sijategemea kama member mzoefu angeanzisha thread kama hii.
 
wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini
sijui ulitakiwa kumaanisha nin hapa hebu edht edit tukuelewe
 
wadau nitakapokuwa na access ya pc au simu kubwa.nitaeleza kwa urefu.samahani kwa sasa.tuvumiliane
 
Back
Top Bottom