Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443

Ni ukweli kwamba kuna mkengeuko mwingi unaohusiana natendo la ndoa ambapo watu hupata ridhiko kwa njia ambazo zinashangaza.
Watu hawakwa bahati mbaya, hawako tayari kukiri udhaifu wao huo hata pale wanapooa aukuolewa. Utakuta mtu ameoa au kuolewa akiwa anajijua kabisa kwamba analo tatizofulani linalohusiana na tendo la ndoa, lakini anaogopa kulisema kwa mwenzi wakekwa hofu kwamba, ataachwa na mwenzi wake.
Hivyo huficha udhaifu huo mpaka baadaya kuoana au kuolewa ndipo kwa kushindwa kujizuia udhaifu huo unadhihirika. Naomba nikiri kwamba, pamoja na mkengeuko wa tendo la ndoa kuwakabilipia wanawake lakini kwa kiasi kikubwa wanaume ndiyo wenye udhaifu mkubwa katika jambo hilo ukilinganisha na wanawake, ambao ndiyo waathirika wakubwa wa vitendo vinavyofanywa na wanaume wenye udhaifu huo wanapotaka kupat ridhiko.
Kwa mfano:
- Kuna wanaume ambao ili kufanya mapenzi, inabidi kwanzawaende wakawachungulie watu wengine wakifanya mapenzi, ndipo wapate hamu yakushiriki. Katika kundi hili wapo ambao kuchungulia pekee hakuwapi starter yakushiriki tendo la ndoa na wenzi wao bali pia wanahitaji kujichua kwanza (Masturbation)na ndipo wamudu kuwaingilia wenzi wao. Kutokana na mapinduzi makubwa ya kingonona utandawazi, upatikanaji wa CD za ngono maarufu Pornography zimewarahisishia sana watu hawa kuepuka ileadha ya kuvizia viambazani usiku ili kuchungulia watu wakifanya ngono maarufukama kupiga chabo ili kupata starter kabla ya kuwaingilia wenzi wao
- Kuna wengine ambao ili waweze kushiriki nilazima wampige mpenzi alie au wampige na kumuumiza hadi damu itoke ndipowashiriki naye tendo. Bila kufanya hivyo wanajikuta hawawezi kushiriki tendo,wengine kwa mkabala huo huo, inabidi wao ndio wapigwe na kuumia ndipo wapatehamu ya kushiriki, lakini pia wapo wale ambao ili wamudu kufanya tendo kwaufanisi ni mpaka wenzi wao wawaingize kidole makalioni na ndipo wamudukushiriki.
- Lakini pia kuna wale ambao wanaposhiriki mapenzina mwanamke ni lazima baada ya tendo wamuuwe mwanamke huyo. Hawa inakuwa kamavile ni tambiko fulani, kwani hufanya hivyo katika wakati fulani tu au hufanyahivyo kwa muda maalum, labda mara moja au mbili kwa mwaka. Huwa wanafanya kwawanawake wageni wasiowajua kabisa. Wengine katika mkabala huo huwauwa wanawakewanaofanya nao mapenzi muda wowote na popote, ili mradi wamefanikiwa kuwapata. Wanawezakuwabaka kwanza na baadaye kuwauwa. Lakini hufanya kwa wanawake wa aina fulani. Labdahufanya kwa makahaba tu, au hufanya kwa wahudumu wa baa tu, au wanawake maarufuau wenye maumbile fulani.
Najua ni swali gumu kidogo, kwa sababu swala la mapenzi kilamtu anachukulia kwa namna anavyoona yeye mwenyewe, kwa hiyo naamini wanawakewatakuja hapa na majibu tofauti kulingana na mtazamo wao.
cacico, snowhite, gfsonwin, Fixed Point, Preta, Asnam, King'ast, Zion Daughter, charminglady, Husninyo, Kaunga, MankaM, BADILI TABIA, miss chagga, miss neddy, miss strong, Karucee, Heaven on Earth, sister, Ennie, Tina