Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kama tujuavyo, wasichana wa sasa kuwa na 3 sum boyfriend kwa ngono kwa muda tofauti au mafiga matatu na pengine zaidi ni kitu cha kawaida. Na pengine kati ya hao wote anaolewa na yule ambaye amfeel kivilee!!

Just jamaa kaonyesha nia ya dhati kuliko wenzake. Mdada anaona umri unamtupa mkono, asije onekana ana gundu anaamua kuolewa na jamaa. Sasa anaamua kumuagaa yule mmoja ambaye anamuhusudu kisana sana, kumuaga kwa kufanya naye ngono siku moja au masaa kadhaa kabla ya ndoa.

Je msichana akipata mimba katika hilo tendo itakuwaje?

Ndio, pendine anatumia kinga, je muoaji akitambua?

Na pengine mwanaume huyo asitambue wakati huu, maneno yakaja kusikika kwa siku za mbeleni zikamfika muhusika?

Wadada!! Acheni hiyo tabia ambayo inaongezeka kwa kasi, jana tu mdada kagogwa kwa sababu hi hi hi.

Nilichukia aggggrrrriiii

Mimi na wewe tutokomeze ndoa ndoano Tanzania, inaanza na sisi wenyewe
 
Sisi pia ni tatizo. Siku hizi tunafikiria mno kwa tamaa kuliko kwa uanaume wetu. Uanaume ni pamoja na kusimamia misingi ya UTU. Usichotaka ufanyiwe usimtendee mwenzako. Period.

NTU anajua na dhamiri yake inamsemesha huyu keshachumbiwa na anaolewa bado NTU huyo huyo anaona sawa kabisa kumtenda mwenzake ili tu kukidhi TAMAA yake. Kwani baada ya hapo ndio hio kiu/tamaa itakuwa imeisha? Kwa nini usimpe japo kitu cha kukukumbuka na kukuheshimu kwacho kwamba kwakuwa najua UMECHUMBIWA, siwezi kumtenda mwanaume mwenzangu hata kama simjui.... ila kama hujui amechumbiwa/kuolewa hio ni kesi nyingine.
 
Mtatokomeza kwa kuacha kuwabeza wanawake kuolewa kisa Umri ! yaani hapo moja kwa moja Mwanamke anampenda Mwingineeee lakini kwa ajili ya Jamii anaamua kuolewa na huyo aliyejitokeza ili aepuke Masimango , mwisho wa siku Mchepuko hauachwi ngodo! chezea ukute Mume vitako viwili yuleeee anangorota wakati Michepuko wanakeshea ! 😛eace:
 
naona inaelekea kuwa kawaida sku hzi watu kuaga michepuko yao kabla ya kuingia kwenye ndoa
 
Mtatokomeza kwa kuacha kuwabeza wanawake kuolewa kisa Umri ! yaani hapo moja kwa moja Mwanamke anampenda Mwingineeee lakini kwa ajili ya Jamii anaamua kuolewa na huyo aliyejitokeza ili aepuke Masimango , mwisho wa siku Mchepuko hauachwi ngodo! chezea ukute Mume vitako viwili yuleeee anangorota wakati Michepuko wanakeshea ! 😛eace:

By the way huwezi Mpenda Mumeo Mtarajiwa toka Kumoyo halafu uende ukaagane na madudu mengine No No hakuna Mwanamke anayeweza fanya hivyo , kwanza utaanzanje hata kufikiria huo utumbo ! hapo mtu anaolewa tu kufurahisha Walimwengu ...
 
Tized mkuu upo!!
Sisi pia ni tatizo. Siku hizi tunafikiria mno kwa tamaa kuliko kwa uanaume wetu. Uanaume ni pamoja na kusimamia misingi ya UTU. Usichotaka ufanyiwe usimtendee mwenzako. Period.

NTU anajua na dhamiri yake inamsemesha huyu keshachumbiwa na anaolewa bado NTU huyo huyo anaona sawa kabisa kumtenda mwenzake ili tu kukidhi TAMAA yake. Kwani baada ya hapo ndio hio kiu/tamaa itakuwa imeisha? Kwa nini usimpe japo kitu cha kukukumbuka na kukuheshimu kwacho kwamba kwakuwa najua UMECHUMBIWA, siwezi kumtenda mwanaume mwenzangu hata kama simjui.... ila kama hujui amechumbiwa/kuolewa hio ni kesi nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Mtatokomeza kwa kuacha kuwabeza wanawake kuolewa kisa Umri ! yaani hapo moja kwa moja Mwanamke anampenda Mwingineeee lakini kwa ajili ya Jamii anaamua kuolewa na huyo aliyejitokeza ili aepuke Masimango , mwisho wa siku Mchepuko hauachwi ngodo! chezea ukute Mume vitako viwili yuleeee anangorota wakati Michepuko wanakeshea ! 😛eace:

Mkuu.....unatumia kinywaji gani aisee. Yan nilikuwa najiandaa kuandika kupitia comment yako nikakuta umemaliza yote
 
Kama tujuavyo, wasichana wa sasa kuwa na 3 sum boyfriend kwa ngono kwa muda tofauti au mafiga matatu na pengine zaidi ni kitu cha kawaida. Na pengine kati ya hao wote anaolewa na yule ambaye amfeel kivilee!!

Just jamaa kaonyesha nia ya dhati kuliko wenzake. Mdada anaona umri unamtupa mkono, asije onekana ana gundu anaamua kuolewa na jamaa. Sasa anaamua kumuagaa yule mmoja ambaye anamuhusudu kisana sana, kumuaga kwa kufanya naye ngono siku moja au masaa kadhaa kabla ya ndoa.

Je msichana akipata mimba katika hilo tendo itakuwaje?

Ndio, pendine anatumia kinga, je muoaji akitambua?

Na pengine mwanaume huyo asitambue wakati huu, maneno yakaja kusikika kwa siku za mbeleni zikamfika muhusika?

Wadada!! Acheni hiyo tabia ambayo inaongezeka kwa kasi, jana tu mdada kagogwa kwa sababu hi hi hi.

Nilichukia aggggrrrriiii

Mimi na wewe tutokomeze ndoa ndoano Tanzania, inaanza na sisi wenyewe

Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" masikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!
 
ni dhambi kubwa kuliko hii....na mwanamke anayetembea na yoyote baada ya kulipiwa mahari ni malaya na hafai

kwanini asiwe na mismamo juu ya mwili ake??atatembea na kuaga wangapi jamani aaagrrrrrr

kama mtu ameamua kuolewa bhasi lazma ajitambue na afanye maamuzi
sio kuolewa kisa umri,au kuvaa shela,marafiki wameolewa ndo mana kla siku kulalamika tu

MUNGU atunsuru na hawa wenye tabia hzi
 
Hii mpya!!! wapi huko??
Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" masikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!
 
Sisi pia ni tatizo. Siku hizi tunafikiria mno kwa tamaa kuliko kwa uanaume wetu. Uanaume ni pamoja na kusimamia misingi ya UTU. Usichotaka ufanyiwe usimtendee mwenzako. Period.

NTU anajua na dhamiri yake inamsemesha huyu keshachumbiwa na anaolewa bado NTU huyo huyo anaona sawa kabisa kumtenda mwenzake ili tu kukidhi TAMAA yake. Kwani baada ya hapo ndio hio kiu/tamaa itakuwa imeisha? Kwa nini usimpe japo kitu cha kukukumbuka na kukuheshimu kwacho kwamba kwakuwa najua UMECHUMBIWA, siwezi kumtenda mwanaume mwenzangu hata kama simjui.... ila kama hujui amechumbiwa/kuolewa hio ni kesi nyingine.

ni kweli mkuu Tized watu tumekuwa na tamaa za kijinga sana
just imagine anajua hrusi kesho yke then anandeleza tamaa unafikri huyu ataacha hii tabia?never huyu hatoacha hii tabia ana tamaa na hajali kwa hiyo hofu ya MUNGU haimo ndani mwake...
mume wke ana kazi sana
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inshu ya kuagana kabla ya ndoa huwa ina raha yake.
 
Kama tujuavyo, wasichana wa sasa kuwa na 3 sum boyfriend kwa ngono kwa muda tofauti au mafiga matatu na pengine zaidi ni kitu cha kawaida. Na pengine kati ya hao wote anaolewa na yule ambaye amfeel kivilee!!

Just jamaa kaonyesha nia ya dhati kuliko wenzake. Mdada anaona umri unamtupa mkono, asije onekana ana gundu anaamua kuolewa na jamaa. Sasa anaamua kumuagaa yule mmoja ambaye anamuhusudu kisana sana, kumuaga kwa kufanya naye ngono siku moja au masaa kadhaa kabla ya ndoa.

Je msichana akipata mimba katika hilo tendo itakuwaje?

Ndio, pendine anatumia kinga, je muoaji akitambua?

Na pengine mwanaume huyo asitambue wakati huu, maneno yakaja kusikika kwa siku za mbeleni zikamfika muhusika?

Wadada!! Acheni hiyo tabia ambayo inaongezeka kwa kasi, jana tu mdada kagogwa kwa sababu hi hi hi.

Nilichukia aggggrrrriiii

Mimi na wewe tutokomeze ndoa ndoano Tanzania, inaanza na sisi wenyewe

Duh hili la leo neno
 
ndo habari ya mujini.

Na mwingine unaenda naye, amalala.next door na mnachepushana kiroho swaaaffff
 
Back
Top Bottom