Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Endapo umepewa zawadi au kitu chochote ambacho hukipendi, unafanya nini ili aliyekupa zawadi asigundue hukipendi? Mfano umepewa shati jekundu na wewe sio rangi unayoipenda. Naombeni mawazo yenu.
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee mfano 1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu yeye hujibu asante au thanks...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwa kweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini. 1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni kwa sababu rafiki zako wameoa,wameolewa na wewe unajifikiria kukosa amani na kupoteza kujiamini? Au unapata pressure kutoka kwa wazazi wako au unaitaji kuitwa Mr au Mrs ili kupata kuheshimia...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya 1.Kuwa bize na simu watoto wa kie...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara zote wanaume tunahitaji wanawake wenye uzoefu na masuala ya mapenzi. Wanaume huwa hawataki hata kidogo kuonekana wanakuwa walimu katika masuala ya mapenzi. Wanapenda wanawake wabunifu...
1 Reactions
136 Replies
11K Views
inasikitisha baba na mama pale ndoa. yenu tayali inaumli zaidi ya miaka. 20 eti inavunjika. nini tatizo. ushauli wa dau..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umekuwa nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka saba.Kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote. Ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma. Shida zako...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Najua wengi wenu amjui jinsi ya kumpata mpenzi mpaka mgaramike. Wengi wenu nyinyi kwa mara ya kwanza umekutana na mdada kitu cha kwanza unajionyesha kwa jinsi gani unao uwezo wa kifedha...
4 Reactions
51 Replies
21K Views
Heshima yenu wanabodi!! Hebu tujaribu kuangalia hili suala la milio ya simu na mwenye simu, je unaweza kupata sifa fulani fulani za mwenye simu? Utakuta mwingine ameweka tarabu tena kwa sauti...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
hallo Jf natafuta msichana mwenye umr wa miaka 18-25 ambaye anaish dar,tafadhal ni PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mapenzi huchukua sehemu kubwa ya maisha yetu kwa maana kwamba kila mmoja wetu hutokea kumpenda mtu na akahitaji kuwa nae kwa maisha yake yote. Si mara zote mambo huenda...
2 Reactions
104 Replies
10K Views
Ana miaka 30 kwa sasa, ni kijana mtanashati na mwenye bidii ya kazi. Nilikuwa na ahadi ya kukutana nae kwa shughuli fulani, mkoa mmojawapo hapa nchini. Wakati tunajadiliana nae kuhusu yale...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Juzi nimekamatia mtoto kutoka somewhere, ni beki tatu anavutia ile mbaya sasa mtoto nimempa vitu kakolea hadi kajisahau kurudi nyumbani. Sasa bosi wake anamtafuta, eti anaogopa kurudi nyumbani...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kujinyonga au kunywa sumu kujiondolea uhai kwa wivu wa mapenzi ni ulimbukeni na upumbavu uliopitiliza na sio solution ya matatizo katika suala la mapenzi. Mtu anajinyonga tu eti kwa sababu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
My husband is my best friend. We play together, dance together, fishing, swimming, watching porn together. His body is my playing ground trust me it's health and no doubt au kuhisihisi or...
1 Reactions
77 Replies
14K Views
Katika mapenzi kuna vitu ambavyo unafanya ambavyo siyo vya kawaida..yaani unasukumwa na kitu kinaitwa power of love au power of genye. Ambavyo kama siyo genye usingeweza kufanya. Ukikaa baadae...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf. Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo. Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa. Hitaji la mwanaume...
25 Reactions
215 Replies
23K Views
Walikuwa kwenye uhusiano wa takribani miezi kati ya sita au saba, mpaka kufika hatua hiyo wakawa tayari wanaaminiana. Sasa jana jamaa alikuwa ana mgegeda huyo demu kumbe ndio alikuwa anamgegeda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…