Life is so easier if you know what you want and how to get it!
Nimekuja hapa objectively, nikaanzisha thread "Natafuta mke wa kuoa kwa mkataba - tenable for 5 years!". Kuna stupid assess...
Kwako Mzee wa Cheka na Kitime,
Dar es Salaam.
Salaam nyingi zikufikie popote ulipo, sisi huku ni wazima kabisa. Nimekuwa nikisoma makala zako na kugundua kuwa wewe ni mtu mwenye busara sana...
Jamani wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo hata kwa kula mayai mabichi na mdalasini ili mradi sauti zenu ziwe nyororo na zikae sawa, ebwana leo nimeumbuka asikuambie mtu.Kuna client wangu...
Hii ilitokea mwaka 1998 hapa dar.
Alikuwa ni binti mrembo sana kutoka kijiji kimoja huko mkoani Shinyanga wilaya ya Kahama. Alilelewa kwa heshima zote za kisukuma. Baada ya kumaliza elimu yake...
Ukizoea kuwa mchepuko utaishia kuwa mchepuko tu labda ukipanda hadhi kidogo utaishia kuwa nyumba ndogo lakini ndoa utaisikia tu na kushuhudia harusi za wengine tu.
Usitumie ujana wako kwa maisha...
Habari wana jf hasa jukwaa husika.
Nimekua nikipiga stori na kupata maoni wa wana ndoa wengi hasa wa jinsia ke wakilalamika kuwa wenza wao wanahitaji sana tendo hali inayowafanya wachoke na...
BIBLIA INASEMA!
Ili kuwe na utaratibu katika familia, lazima kuwe na mtu wa kufanya maamuzi ya mwisho. Biblia inampa mume daraka hilo. Lakini hilo halimpi ruhusa ya kuwa dikteta au mnyanyasaji...
Kuna ndugu yangu kahamia kwa mpenzi wake kisa ana mimba.
Hivi ni sawa? maana anahofu akijifungulia kwao itakuwa imekula kwake, kwani hata mwanaume akimsaidia hawezi kumsaidia na kuwa naye karibu...
Kwa jina ninafahamika kama Hamisi na nimebahatika kuhamia hapa dar miezi kama 3 iliyopita nkitokea muheza tanga baada ya kupata kazi serikalini...
Nimebahatika kupanga sinza ambapo vituko...
pesa haina thamani ila vitu ndo vinathamani,pesa ni utumwa,pesa ni adui wa haki,upendo,amani,mapenzi na furaha,pesa ni exchange ya uhuru na muda basi,ukitaka upate uhuru na muda wa kuexplore...
Habari wana MMU.
Nilitokea kuanguka kimapenzi kwa dada mmoja ambaye ni mwanachuo, huyo dada alikuwa best yangu wa kawaida tu.
kama mnavyojua wakuu kuwa penzi ni kikohozi na kulificha...
Wapendwa wanaJF,
Napenda kuchukua fursa hii kipekee kuwashukuru kila mmoja wenu kwa umoja na mshikamano mliouonesha kwangu kipindi hiki kigumu sana kuwahi kutokea maishani mwangu kwa kuondokewa...
Many relationships don't end up in marriage because each part in a first place looks for a 'partner​ in crime'! A guy will look for a lady (to get hooked and hitched)... who will quickly say...
Hivi nyie kinadada kwanini mkitongozwa kwa mara ya kwanza,hivi ni kwanini mna mizinga sana? Haijawahi tokea umtongoze msichana kabla hajakupa papuchi asikupige mizinga. Kuna dada nilimueleza nina...
Kwanza habari za siku wapendwa nilikuwa adimu jukwaani nilipamiss sana!
Wapendwa naombeni ushauri juu ya hili jambo.
"Mchumba wangu tumepata mtoto miezi miwili iliyopita na hii imetokea...