Hivi ni sawa kisa mimba utake kuhamia kwa mwanaume

Hivi ni sawa kisa mimba utake kuhamia kwa mwanaume

sia1

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
28
Reaction score
27
Kuna ndugu yangu kahamia kwa mpenzi wake kisa ana mimba.

Hivi ni sawa? maana anahofu akijifungulia kwao itakuwa imekula kwake, kwani hata mwanaume akimsaidia hawezi kumsaidia na kuwa naye karibu kama asipohamia kwake.

Pili anahofu akizaa akiwa home ni rahisi kutengana.

Hivyo amehamia kwake mazima na wanaishi kama mume na mke.

Mnaonaje hilo.
 
Kuna ndugu yangu kahamia kwa mpnz wake kisa ana mimba. Hv ni sawa? Maana anahofu akijifungulia kwao itakuwa imekula kwake..kwan hata mwanaume akimsaidia hawezi kumsaidia na kuwa nae karibu km asipohamia kwake.
Pili anahofu akizaa akiwa home ni rahic kutengana
Hivyo ameamia kwake mazima na wanaishi km mume na mke..
Mnaonaje hilo

Mbona majibu inaelekea unayo.
Ashauriwe nini sasa?
 
Hao wamekubaliana huwezi hamia kwa mtu bila ridhaa yke,labda atumie force kuhamia ila mapenzi yatakua hayapo period
 
Maamuzi yao, kama wamekubaliana sawa
 
Kuna ndugu yangu kahamia kwa mpnz wake kisa ana mimba. Hv ni sawa? Maana anahofu akijifungulia kwao itakuwa imekula kwake..kwan hata mwanaume akimsaidia hawezi kumsaidia na kuwa nae karibu km asipohamia kwake.
Pili anahofu akizaa akiwa home ni rahic kutengana
Hivyo ameamia kwake mazima na wanaishi km mume na mke..
Mnaonaje hilo

Ndoa huja kwa njia nyingi. Hiyo mojawapo. Ndoa ni ajali wakati mwingine!
 
Gud gal amehamia mtoto akue kwenye upendo wa wazazi woote.
 
Mmmh...haya weee...sisi yetu macho tuone wanafikia wapi...
 
God isnt wrong by making the institution of marriage bring forth kids. Parenthood begins with bonding in the womb.
 
Ni sawa kabisa maana wailee mimba wote wawili si kupeana nakumuachia mmoja ndo alee
 
hata ukizalia nyumbani kwenu kama mwanaume anakujali atakuhudumia tu
 
Kahamia ili aendelee kupata kilichomfanya abebe mimba, sia1 wewe hutahamia kwangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom