Wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo

Wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo

Niwemugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
902
Reaction score
462
Jamani wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo hata kwa kula mayai mabichi na mdalasini ili mradi sauti zenu ziwe nyororo na zikae sawa, ebwana leo nimeumbuka asikuambie mtu.Kuna client wangu nilikuwa nawasiliana nae kwenye simu kwa ajiri ya biashara na bahati mbaya ana jina ambalo huwezijua kama ni la kike ama la kiume,hueziamini zimepita kama wiki moja nikawa nafikiria ni mwanaume.Jana nikamwambia aje ofisini ili tuweze kujadiliana namna ya kumpunguzia bei maana anachukua mzigo mkubwa.Ebwana nakuambia alivofika nimebaki naduwaa kumwona eti ni mwanamke.Jamani rai yangu wanawake jitahidini kuwa na sauti nyororo sio mnakuwa na sauti kama ng'ombe anaeenda machinjioni.Sauti nyororo ina raha zake bwana yaani hata kama mdada ni wa kawaida ila akiwa na sex voice inapendeza sana bwana.Tafadharini sana wanawake wenye sauti ya kukwaruza kama vyura jitahidini kuziremba maana naamini sauti nyororo pia zinasaidia hata kuhamasisha.Ni hayo tu kwa leo
 
Mmmh!! sasa mtu anawezaje kujitahidi kubadilisha sauti yake??
 
Unatia sauti au papuchi

Hata kama natia papuchi ila mfano unatia papuchi huku mwenyewe anaongea kwa lugha ya mahaba nyororo ooooo baby stop there uwiiii go west yerewiiii na mwingine anaongea maneno hayohayo huku sauti inakwaruza wewe unafikiri utachagua yupi?
 
sasa mtu kama yuko hivyo afanyaje......ndiyo jinsi alivyo.....
 
Hebu mtuache jamani mambo mengine ni uumbaji sasa kama hutaki wa hivyo kuna mwenzako halali kisa huyo sauti mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom