Ratiba ya penzi kwa wanandoa kwa afya

Ratiba ya penzi kwa wanandoa kwa afya

Manselly

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
456
Reaction score
130
Habari wana jf hasa jukwaa husika.
Nimekua nikipiga stori na kupata maoni wa wana ndoa wengi hasa wa jinsia ke wakilalamika kuwa wenza wao wanahitaji sana tendo hali inayowafanya wachoke na kutotamani ndoa au kutoifurahia. Wengine wamekua wakisema hili kama utani lakini kiukweli wanamaanisha.
Wanaume wamekua kama wabakaji ndani ya ndoa na kwa kiasi kikubwa tendo limekua si la hiari hasa kwa wanandoa.
Hebu tutumie uzoefu wenu wakongwe kwenye hizi mambo hasa mliooa au mnaoishi na wenzi wenu pika na kupakua, hebu tujaribu kujibu haya.
1. Ratiba nzuri kwa afya ni ip na Je kuna umuhimu wa kuwa na ratiba au muda wowote mtu anapojiskia hamu yuko huru kupata
2. Je katika me na ke nani anapaswa kuwa na sauti au mamlaka hasa juu ya maamuzi ya muda wa kufanya?
N.B naomba tupendekeze na kushauri muda na idadi muafaka ki afya bila kuchoshana mfano kwa mume na mke ambao ni wafanya kazi wanatoka nyumbani asubuhi saa 2 na kurudi saa 9 hiyo ni j3 mpaka ijumaa
 
Kabla ya kutiririka je umeoa au umeolewa?
 
hamna formula, kila wanandoa wana ratiba yao na kwa suala la nani mwenye sauti kila mmoja anatakiwa kuwa na sauti, kuomba na kupewa kama muktadha unaruhusu. Hakuna mwenye sauti juu ya mwenzake bali ni ushawishi na utayari wa kila mmoja
 
Sijaoa ila nina fikiri ukimbaka mke wako raha sana. Ata yeye atapenda. Kila siku mnafuata taratibu tuu haipendezi. Hamna cha ratiba wala nini. Bamiza mpaka hana nguvu ya kuchepuka.
 
sina tatizo ila nimeona ni vyema tukajadili hili pia

inategemeana, kuna watu mapenzi yao motomoto zaidi ya joto, hawa ni any time a week.

Na kuna wale wanakua kama wamejikuta kwenye ajali ya ndoa,,,wanaonana kama misukule,,sijui ratiba yao
 
Mpenzi wng, simuelewi;

Niko mapenzini kwa mud a mfupi tangu tuanze mapenz yet. Ila babi wng yy kaz yake huwa no kutafuta habar Zang zilizopita na anassema hamiin damu Yng il a ananiim nafs Yngu. Ninampenda sn na anajua hilo il a ananikatisha Tamaa. Nisaidien wenzangu
hamna formula, kila wanandoa wana ratiba yao na kwa suala la nani mwenye sauti kila mmoja anatakiwa kuwa na sauti, kuomba na kupewa kama muktadha unaruhusu. Hakuna mwenye sauti juu ya mwenzake bali ni ushawishi na utayari wa kila mmoja
 
Back
Top Bottom