KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,910
Habari wana MMU.
Nilitokea kuanguka kimapenzi kwa dada mmoja ambaye ni mwanachuo, huyo dada alikuwa best yangu wa kawaida tu.
kama mnavyojua wakuu kuwa penzi ni kikohozi na kulificha haliwezekani.
Ikafika siku mzee nikajikakamua nikamweleza yanayo nisibu moyoni mwangu na tangu siku hiyo urafiki wetu ukapungua, lakini ghafla naona siku hizi ananichangamkia kama zamani.
Je nikumbushie?