Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Ukizoea kuwa mchepuko utaishia kuwa mchepuko tu labda ukipanda hadhi kidogo utaishia kuwa nyumba ndogo lakini ndoa utaisikia tu na kushuhudia harusi za wengine tu.
Usitumie ujana wako kwa maisha ya kuwa mchepuko utahangaika sana kupata ndoa.
Ushauri wa bure ukitaka zingatia, hutaki puuzia utayakuta mbele ya safari. Mkataa pema pabaya panamuita.
 
Ni kweli, japo hao ndio wanapewa matunzo na kuthaminiwa kuliko Mke wa haki.
Wanaume wasikie tu.
^^
 
Ni kweli, japo hao ndio wanapewa matunzo na kuthaminiwa kuliko Mke wa haki.
Wanaume wasikie tu.
^^

ile kukutumia wewe kama chombo cha starehe inatosha kudhihirisha kuwa hakuthamini
 
ile kukutumia wewe kama chombo cha starehe inatosha kudhihirisha kuwa hakuthamini

Ha ha mzabzab Did I sound like a woman?
Anyway, ujumbe umewafikia walengwa.
^^
 
Last edited by a moderator:
Kweli, Lakini kwanza hao waowaji wengi huanzia hapo... Ndoa nifata .....
 
naona hadi machangu pete za ndoa zikizama vidoleni achilia mbali michepuko
 
Siku hizi nitoke vipi ya JF ni 'women bashing threads'. Come up with something else. This is Too Monotonous and Boring.
 
Back
Top Bottom