Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari nina miaka 27. Ni mhasibu. Natafuta mke awe ameajiriwa selikarini
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta marafiki wa kike na kiume
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Eid mubarak wana MMU, Bila kupoteza wakati acha niende kwenye mada ambayo ningependa kuielezea. Kuna msemo maarufu sana kwamba UZURI WA MWANAMKE NI TABIA SIO UREMBO. Huu usemi mimi ninakubaliana...
6 Reactions
178 Replies
21K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Meniah Atick aka Meninah hivi karibuni ameachia Track yake mpya ya ‘Pipi Ya Kijiti' ni track inayozungumzia mapenzi na kuwapa somo wanaume, Akiongea kwenye...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
habari wana MMU.... nina mdogo wangu wa kiume ambaye hv karibuni niliporudi kutoka chuoni nimemkuta yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye anaonekana ni bibi ila yeye anadai ni msichana mdogo na...
0 Reactions
123 Replies
12K Views
mods pls naomba hii isipelekwe jukwaa la picha
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza natoa shukrani za dhati kwa wote waliochangia mawazo yao katika mkasa ulionitokea kazini, pia niwatoe wasiwasi wliofikiri kua ni simulizi tu. Nirudi kwenye mada. Baada ya kuwaza sana huku...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu Guys, miss u so much. Natumaini wote mko poa. Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini...
7 Reactions
213 Replies
20K Views
Yani kwa kweli,me nikiona tu mwanamke kavaa skin tyt afu huyo mwanamke awe na mapaja manene na awe amejaliwa m.k.u.n.d.u wa haja,kiukwel huwa namtamani sana na mara nyingi naishiaga tu kupiga...
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Najua mko poa! Kuna aina shughuli au kazi ni lazima ili uifanye kwa usahihi uwezo wako kiali una takiwa kuwa timamu. Mfano Madaktari, usipokuwa na utimamu tutarajie maajabu ya kusahau mkasi baada...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
hi wapendwa, mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24. Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka 2013 chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). sasa nimefanikiwa kupata kazi NSSF Dodoma kama assistant...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mwaka 2000 nilifukuzwa chuo kikuu nikiwa mwaka wa pili ambapo nilikua nikichukua Shahada ya udaktari(Doctor Of Medicine) baada ya rafiki yangu kuuawa na mimi kuchukuliwa kama shahidi namba moja...
5 Reactions
69 Replies
10K Views
HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI NAHITAJI MWANAMKE MSTAARABU TUWE TUNAKUTANA NAE FARAGHA SIKU ZA JMOSI MCHANA TU.KWA ALIYE TAYARI KARIBU.KAMA HUHUSIKI PITA KIMYA.SHUKRAAAAAN:A S wink:
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika maisha yangu ya kirafiki nimekutana na watu kama watatu hivi wenye tabia ambazo wakati mwingine unaweza usijue sababu yake hasa. Ni hivi, kuna watu waliotawaliwa na usiri, yaani unaweza...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimewahi kusikia kuwa ukifanya mapenzi na mwadhirika wa ukimwi kwa muda mfupi(bila mchubuko kutokea) huwezi pata virus. Je nikweli?
0 Reactions
51 Replies
7K Views
natafuta mchumba seriously guyz...anicheck knye 0719165399
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jina langu marufu naitwa MASTER ON THE BEAT,naomba wadau wenzangu mnisaidie, Hivi kuna umhimu gani wa mahali kuzidi kupanda kwenda kwenye mamilioni ya pesa,jee? watoto wa kike siku hizi ni...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kuna kitoto mtaani kwetu nilikishuhudia kimesimamisha uume mida ya asubuhi kikitaka kukojoa. Tatizo ni umri wake kana umri wa mwaka na nusu, je kanakuwa na nyege au ni matokeo ya vichocheo vya...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Hawajui mapenzi ila ni wabishi, hawataki kukubali ukweli,uzinzi kwao ndo mapenzi, hupenda kuongelea ngono, ni fata mkumbo,hupenda kuongelea watu,kwenye mitandao huwa wanajifanya superior huku...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mapenzi yamtoa msichana anayetoka kwenye familia ya kitajiri ya kihindi na kwenda kuishi maisha ya walalahoi kijijini Kenya! Binti huyo anayeitwa Sarika bila kujari Mila za kihindi amesema roho...
3 Reactions
115 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…