Mwanamke na mwanaume mjinga

Mwanamke na mwanaume mjinga

Thinkyyy

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
548
Reaction score
71
Hawajui mapenzi ila ni wabishi, hawataki kukubali ukweli,uzinzi kwao ndo mapenzi, hupenda kuongelea ngono, ni fata mkumbo,hupenda kuongelea watu,kwenye mitandao huwa wanajifanya superior huku mathinkers huwaangalia na kuwashangaa kimyakimya, wanapenda fashion, ni waigizaji, wanapenda umaarufu kwa mgongo wa wajinga wengi, hawajui kupenda wanaigiza, wanapenda kukosoa wenzao

NA HUMU NDANI NI 80%%%%%%%%%%%
 
Ungekua ni great thinker kwa madai yako cdhan kama ungepost ichi ulichopost ungesoma kimyakimya post za watu uwaitao ni wajinga na kupotezea

nimetoa hali halisi waelewe mazingira,halafu choice itategemea waangukie wapi kwa mara ya pili,ila jua naandika haya kwa mtazamo wa wazo la ukombozi ila si deal na PERSONALITIES
sawa 80%
 
nimetoa hali halisi waelewe mazingira,halafu choice itategemea waangukie wapi kwa mara ya pili,ila jua naandika haya kwa mtazamo wa wazo la ukombozi ila si deal na PERSONALITIES
sawa 80%

Kwaiyo hali halis uliyotoa......upo upande upi wa mathinkers OR wajingaa
 
Kwaiyo hali halis uliyotoa......upo upande upi wa mathinkers OR wajingaa

mazingira yapo wazi kwa swali lako,ingesaidia udeal na mada than maswali yasiyo na mantiki
 
Mods, Qualities of great thinker ziwekwe kwenye form ya kujiunga na jamvi.
 
Back
Top Bottom