Swadaktaa Heaven Sent ni kwa kutoa ndo tunapokea hii ni kanuni ya kidunia ukipingana nayo maisha yako daima yatakuwa ya huzuni
Utavuna ulichopanda. Usitegemee kuwa na mahusiano bora kama hujitoi kuyajenga mahusiano yako. Ukiyachukulia poa, na yenyewe yatakuwa poa tu. Hakuna mtu wa nje atakayekujengea mahusiano yako. Bidii yako ndo inadetermine aina ya mahusiano unayoyataka.
Huwa kuna baadhi yetu tunafikiri ndoa ni supermarket kuwa utakikuta kila kitu juu ya mashelfu