Costa concodia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 209
- 48
Katika maisha yangu ya kirafiki nimekutana na watu kama watatu hivi wenye tabia ambazo wakati mwingine unaweza usijue sababu yake hasa.
Ni hivi, kuna watu waliotawaliwa na usiri, yaani unaweza kumuona mchangamfu na muongeaji ila ataongea mambo ambayo yatakunyima fursa ya kumfahamu kiundani, hawataki kupigwa picha na mara nyingi hawapendi kuongea katika umati wa watu, unaweza kumkuta anaongea wee ila akiamua kuwa kimya anakuwa kimya haswa. hawaongei sana ila wanakuwa na maswali mengi kuhusu watu wengine.