Hivi hili ni kweli kuhusu UKIMWI?

Hivi hili ni kweli kuhusu UKIMWI?

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Nimewahi kusikia kuwa ukifanya mapenzi na mwadhirika wa ukimwi kwa muda mfupi(bila mchubuko kutokea) huwezi pata virus. Je nikweli?
 
Mmmh mkuu vp.....najua tayari ushafanya mkuyati na m2 unamuhic kuwa ana virus....sasa acha kufanya assumption kaa izo...we kaa hujamwamin m2 ...ucmwamin never....haya xaxa kwenye swali lako;bila mchubuko virusi haviwez kushift...kwa mawazo zaidi peleka swali lako jf doctorz.....afu mbona xemina nyingi zimetolewa khsu ukimwi we vp uko wap .....
 
hata semina za uandishi sahihi wa kiswahili mbna zmetolewa sana humu we ulikua wapi?...'xaxa' 'xemina' ndo mdudu gani?
 
Mmmh mkuu vp.....najua tayari ushafanya mkuyati na m2 unamuhic kuwa ana virus....sasa acha kufanya assumption kaa izo...we kaa hujamwamin m2 ...ucmwamin never....haya xaxa kwenye swali lako;bila mchubuko virusi haviwez kushift...kwa mawazo zaidi peleka swali lako jf doctorz.....afu mbona xemina nyingi zimetolewa khsu ukimwi we vp uko wap .....
hahhaahaaaaa! Hii comment imenifanya nicheke sana!
 
ndugu vrus hukaa kwenye sehemu zfuatazo damu, uteute wa me/ke na kias kidogo kwenye mate. ucdanganyke et mpaka msuguano
 
Majiji ya uke,ute wa uume,shahawa,damu! Vyote hivyo vinabeba virus vya Ukimwi hivyo si lazima kutokee michubuko!
 
...siku hizi watu wenye HIV (ukimwi) ndiyo wanaoonekana kunawili na kunenepeana (kumbe ni ARV) kama vile si wagonjwa! Kumbe ni muonekano wa nje tu!
 
ndugu vrus hukaa kwenye sehemu zfuatazo damu, uteute wa me/ke na kias kidogo kwenye mate. ucdanganyke et mpaka msuguano
Mate hayabebi virus vya Ukimwi labada kama yawe yamechanganyika na damu yenye virus!
 
Mmmh mkuu vp.....najua tayari ushafanya mkuyati na m2 unamuhic kuwa ana virus....sasa acha kufanya assumption kaa izo...we kaa hujamwamin m2 ...ucmwamin never....haya xaxa kwenye swali lako;bila mchubuko virusi haviwez kushift...kwa mawazo zaidi peleka swali lako jf doctorz.....afu mbona xemina nyingi zimetolewa khsu ukimwi we vp uko wap .....

xawa xawa, nyambaaf
 
Mkuu uandishi wako unakera sana!
 
vijana toka facebook...
 
Bwana wewe acha ngono zembe!!!! Umeme utakua.
 
Back
Top Bottom