Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na...
Nina miaka 25,
Muajiriwa.
Elimu yangu ni shahada.
Mkristo mcha mungu.
Niko mbeya.
Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.
Elimu kuanzia form six,
Mwajiriwa au aliyejiajiri,
Mkristo...
Wadau,
Ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi.
Kama...
Jamaa mmoja alikuwa anapenda kufuatilia sana wake za watu na ikafikia muda akaisahau kabisa familia yake yenye mtoto mmoja,na kuwa mke mwenye watoto 5.
Baadaye jamaa anayechukuliwa mke naye...
Habari gani
Wakati mwingine unapomtumia messge binti mara kwa mara either kwenye mitandao ya kijamii or kwenye simu yake ya mkononi then hakawa hajibu licha ya kumuona online or licha ya kuona...
Sifa
1. Elimu angalau form 6
2. Umri usizidi 27
3. Usiwe mfupi sana
4. Dini yoyote
Mimi:
Mrefu, Mweusi, Bachelor degree holder, Nina company, Nyumba tatu Mbezi beach, Hotel Moja, Hummer 1...
Kuna mdada tupo naye ofisi moja , yeye kaolewa mimi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka.
Yeye kila wakati huwa anataka amfahamu mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli...
Relationships nyingine inafika muda zinaanza kua ka umefungwa, mapenzi raha sawa lakini kitendo cha kutuganda tuwasiliane kila siku kila wakati inaboa, yani hamna kuachiana angalau cku moja kuweka...
Kadri siku zinavyo zidi kuendelea, asilimia kubwa ya wanaume nguvu zao za zidi kupungu. Hii ni kutokana na baadhi ya sababu ninazo ziorodhesha hapa:-
1. Kufanya kazi rahisi rahisi za mwili...
kuna dada mmoja nilkutanae ktk mtandao 1 hivi wa kijamii baada ya kuchati nae kidogo akanipa namba ya simu ili tuchati vizuri pindi tupo ktk mchatiko aliniambia kuwa yy ni mke wa mtu (kidume...
Miaka ya karibuni wananchi wengi hasa vijana, wamejiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na wageni hasa wazungu. Mapenzi hayakuanza leo, jana wala juzi.
Yamekuwapo wakati wote. Ukweli ni kwamba...
Habari zenu!
Kwanza kabisa napenda niwafaamishe kuwa JF amekuwa rafiki, mshauri, mkosoaji, na mchekeshaji na pia mkandamizaji kwangu ndani ya miezi kadhaa toka nimejiunga.
NAKUPENDA JF...
Habari wana MMU.
Kijana mwenzenu yananisibu haya.
Nina mpenzi wangu ikifika october 24 tunatimiza mwaka mmoja, ila kuna kitu nashindwa kumuelewa, wakati tunaanza mahusiano alikuwa hamalizi wiki...
weekend hii nilikuwa sina hili wala lile mara mdada niliyemfukuzia miezi kadhaa akasema nimfuate kwao kijitonyama ,nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka...
HABARINI MARAFIKI
HII TABIA YA KUJIKOROGA MPAKA UNAKUWA SEMBE
NANI AMEKUAMBIA KUWA UKIWA HIVYO WEWE MWANAUME UTAVUTIA?
Mama mfundaji ndo nshatinga jumbani, nimesheheni kila idara, ni wapi sipo...
Nilikuwa na binti ambaye kimsingi ndiye alikuwa mke wangu, baada ya kuzaa naye nilimshauri asome sekondari masomo ya jioni kwa muda wa miaka miwili, alimaliza kidato cha nne na nikampeleka advance...
Sallamu wakuu!!
Kwanza niweke wazi kwamba huu ni uzi wangu wa kwanza hapa Jf toka niwe mwanafamilia,japo nilikuwa nafuatilia kimya kimya kabla ya kujiunga.
______ _______ _______...