NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Relationships nyingine inafika muda zinaanza kua ka umefungwa, mapenzi raha sawa lakini kitendo cha kutuganda tuwasiliane kila siku kila wakati inaboa, yani hamna kuachiana angalau cku moja kuweka distance kidogo ili mambo mengine yafanyike, kila muda mapenzi tu, tusipoonana basi message hamna pause zinajaa watsapp, hamna kujali ni muda wa kusaka pesa, mnataka tuchat tu, usiporeply siku nzima utasikia mpenzi umeibiwa!! take t easy girls, ka ni wako ni wako tu, na ka player hata utume txt milioni si wako huyo...
napenda space nikae nifanye mambo yangu mwenyewe, ikiwezekane tupeane hata likizo ya mwezi kabisa... sio wife yamekua hayo, mkiwekwa ndani je??
napenda space nikae nifanye mambo yangu mwenyewe, ikiwezekane tupeane hata likizo ya mwezi kabisa... sio wife yamekua hayo, mkiwekwa ndani je??