Mulunga
Member
- Aug 4, 2014
- 34
- 2
Jamaa mmoja alikuwa anapenda kufuatilia sana wake za watu na ikafikia muda akaisahau kabisa familia yake yenye mtoto mmoja,na kuwa mke mwenye watoto 5.
Baadaye jamaa anayechukuliwa mke naye akaamua kumfuatilia mke wa mgoni wake na kumuoa kabisa ikawa wamebadilishana nani alaumiwe kwa hili.
Baadaye jamaa anayechukuliwa mke naye akaamua kumfuatilia mke wa mgoni wake na kumuoa kabisa ikawa wamebadilishana nani alaumiwe kwa hili.