Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,968
Kadri siku zinavyo zidi kuendelea, asilimia kubwa ya wanaume nguvu zao za zidi kupungu. Hii ni kutokana na baadhi ya sababu ninazo ziorodhesha hapa:-
1. Kufanya kazi rahisi rahisi za mwili. Asilimia kubwa watu wamekuwa hawaupi mwili mikiki mikiki kiasi cha kuufanya usiwe na reaction wakati wa kufanya mpz. Ndio maana unakuta watu wanaofanya kazi ngumu kama geleji nk wanakuwa na uwezo.
2. Msongo wa mawazo. Kulingana na changamoto za maisha kumesababisha watu kupunguza nguvu. Kiasi cha kutowaridhisha wenza wao. Inabidi wapenzi wajaribu kuwa na mda wa kulilax. Kama kwenda out, kubadilisha maeneo ya kutembelea, kuangalia anga nk.
3. Uvutaji wa sigara mara kwa mara. Hili nalo linapunguza kiasi kikubwa nguvu.
4. Kula fast food. Asilimia kubwa wanaume wamekuwa wakila vyakula vilaini laini kama chips mayai nk. Kimefanya mwili kudhoofika kiasi cha kutoweza kuzalisha msukumo wa damu kwaajili ya kufanya tendo la ndoa.
Kuna sababu nyingi sana ila nimeleta hizo tu kama angalizo.
Kesi nyingi sana zinatokea kwa wake za watu kutoka nje ya ndo na hatimaye ndoa kuvunjika.
Sio vizuri kutumia madawa kwa ajiri ya kuboost ni vyema kutumia njia ya asili.
Ni hayo tu.