Hii ndio njia rahisi ya kujua kama unamridhisha mpenzi wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio njia rahisi ya kujua kama unamridhisha mpenzi wako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kinyoba, Jun 21, 2011.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Wadau,

  Ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi.

  Kama wewe ni mwanamke na kila mara wewe ndo unaanzisha game au kubembeleza tendo basi jua kuwa mumeo hakufurahii na humridhishi.

  Kama mnaridhishana basi kila mmoja wenu atakua anamuwaza mwenza wake na kutamani kuwa nae wakati wote, hata kama upo kazini mtakua mnawaza muda wa kutoka kazini ufike mapema ukamuone mwenza wako.

  Ni hilo tu wadau.
   
 2. waubani

  waubani JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2014
  Joined: Nov 21, 2012
  Messages: 513
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  unamaanisha ni lazima muombane kwa pamoja? si ni lazima aanze mmoja anaweza kuwa ke au me
   
 3. Mgirik

  Mgirik JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2014
  Joined: Apr 27, 2013
  Messages: 10,815
  Likes Received: 3,486
  Trophy Points: 280
  acha kukariri bwana mdogo. Kuna mwingne anaweza kukutafuta umtombe kwa vile tu unampa pesa kila ukimtomba lakn kitandan kumbe f
   
 4. m

  magd lumola JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2014
  Joined: Mar 21, 2014
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umepiga ikulu

  Nzega
   
 5. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2014
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 20,009
  Likes Received: 7,991
  Trophy Points: 280
  Unataka tutoe siri zetu dogo
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2014
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ngono ni zaidi ya uijuavyo
   
 7. baro

  baro JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1,760
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Mhhh jaman aaahhh jf n kiboko
   
 8. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2014
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Yoyote anaweza kumuanza mwenzie....cha msingi ni ile response baada ya kutoa signal. Kama response ni negative daily mara zote malalamiko basi ujue hauko vizuri kwenye tendo...
   
 9. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2014
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,347
  Likes Received: 20,065
  Trophy Points: 280
  we acha tu!!
   
 10. baro

  baro JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1,760
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Aisee mkuu ni shidaaahh hta kma hutak kucheka itakubid tu na ukiwa karibu na watu wanaweza fikiri umechizika
   
 11. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2014
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Makomana tafsida aisee..
   
 12. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2014
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hayo ndo maneno Heart.
   
 13. Pretty R.

  Pretty R. JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2014
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ngono oriented mind. upo kazini unawaza utoke saa ngapi ukangonoke? umaskini huu utatuepuka kweli?
   
 14. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2014
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Huyu nae unakuta anawaza kuja kua Mchumi Benki ya dunia, kweli?
  Labda wakufanyie usaili Idara ya Uhamiaji
  Shenzy
   
 15. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,243
  Likes Received: 3,395
  Trophy Points: 280
  Uzi ni wa 2011 lakini mchangiaji wa kwanza kachangia saa moja iliyopita
  Hii mpya kwangu!!!
   
 16. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2014
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Heheheee...... Itakuwa imeunganishwa..
   
 17. mwalimumzalendo1

  mwalimumzalendo1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2014
  Joined: May 19, 2014
  Messages: 1,102
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145

  Huwez nuna ukitumia jf
  Stress za maisha zinapungua kwanza
   
 18. mwalimumzalendo1

  mwalimumzalendo1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2014
  Joined: May 19, 2014
  Messages: 1,102
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Haaaaaa nilikua cjaangalia mdaaa hii kalii
   
 19. baro

  baro JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 1,760
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu
   
 20. T

  TOMEE JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2014
  Joined: Sep 17, 2013
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani jeshini mnarudi lini au bado mnaaply vyuo
   
Loading...