Ndechumia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,086
- 378
Kuna mdada tupo naye ofisi moja , yeye kaolewa mimi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka.
Yeye kila wakati huwa anataka amfahamu mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.
Haikuwa taabu ila sasa hivi kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikiri ni masihara, ila sasa hivi anataka kabisa nikampe majambozi.
Sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?
Wana JFnaombeni mchango wenu.