Kuna wanawake wana gundu

Kuna wanawake wana gundu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,358
Reaction score
56,200
weekend hii nilikuwa sina hili wala lile mara mdada niliyemfukuzia miezi kadhaa akasema nimfuate kwao kijitonyama ,nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti,mchezoo ukaishia hapo nikampa elfu mbili ya nauli arudi kwao na uzuri wake wote nimenawa mikono
nasikia kuna wadada ukioa nyota yako inafifia au unafirisika sasa huyu naona unaweza kufa kabisa
 
Wewe waendesha gari ya kuazima usiyoijua matatizo yake wategemea nini?

Ona sasa pepo la uzinzi linachokuelekeza kutueleza, "eti kuna wanawake wana gundu"...

Unaancha kumshukuru Mungu kwa kukuepusha na zinaa pengine ulikuwa unaepushwa na "ngoma"...

nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti
 
Hahaha una gundu na gari lako la kuazima. Siku nyingine jibebe tu kwa miguu uone kama miguu yako itagoma kutembea hahahaa
 
Wewe waendesha gari ya kuazima usiyoijua matatizo yake wategemea nini?

Ona sasa pepo la uzinzi linachokuelekeza kutueleza, "eti kuna wanawake wana gundu"...

Unaancha kumshukuru Mungu kwa kukuepusha na zinaa pengine ulikuwa unaepushwa na "ngoma"...

gari nalijua vizuri halina matatizo yoyote
 
Gundu ni imani..kama unaamini basi lipo. Otherwise,hayo ni matukio yaliyobidi kutokea siku hiyo,mtafute next weekend uone mambo yatavyokuwa shwari
 
weekend hii nilikuwa sina hili wala lile mara mdada niliyemfukuzia miezi kadhaa akasema nimfuate kwao kijitonyama ,nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti,mchezoo ukaishia hapo nikampa elfu mbili ya nauli arudi kwao na uzuri wake wote nimenawa mikono
nasikia kuna wadada ukioa nyota yako inafifia au unafirisika sasa huyu naona unaweza kufa kabisa


Gari la kuazima. Tairi mbovu. Betri imeisha nguvu, hajafunga mkanda kwa uzembe, mchecheto wa papuchi hadi unasahau simu. Mwisho wa siku nauli buku mbili! Hamna gundu hapo, jichunguze mwenyewe dogo.
 
Back
Top Bottom