Ambaye hujaoa zingatia haya kabla ya kuoa

Lastname

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
921
Reaction score
297
1. Usioane na mwanaume au mwanamke anayejua mahusiano yako ya nyuma - - - ugomvi mwingi katika ndoa unaanzia hapo, mnaweza kuoana lakini kumbuka huo utakuwa ni msalaba wako maisha yote mpaka ufikie "menopause" kwa mwanamke. Achana na story za samehe na usahau hizo ni alinacha kwa kawaida tunasamehe harafu tunakuweka kwenye uangalizi wa hali ya juu kuhusu lile jambo au lifananalo. Unaweza kusahau sura ya mtu aliyekuwa na mahusiano na mkeo au mumeo kama ulibahatika kumjua?

2. Usiiendekeze famila yako kwenye mahusiano, utakuta mwanaume/ke anapeleka kilio chake kwa dada/kaka yake , mama yake kususu mahusiano yake. Kama unaamua kuoa kaa wewe kama wewe rekebisha unaloweza lisilowezekana achana nalo kama kubwa usimuoe huyo au usiolewe naye

3. Usafi ni muhimu kwa wote wawili, ukiona mwenzio usafi ni issue achana naye. Watu huwa wanadharau kuwa hili dogo sana. Huwa haliishi na mnaweza chukua muda mrefu na likaja pelekea kuachana

4. Usiwe muongo kwa vitu ambavyo muda mfupi ujao mwenzio ataona ukweli wake. Ukiona mwenziwako muongo usidharau hilo huwa halishi linaendelea mpaka mtazeeka.

5. LA MWISHO USIJIDHARAU KAMA WEWE HUNA AKILI YA KUJUA YOTE HAYA UNAZO SANA NA MENGINE UKIYASOMA UNASEMA DU ILA HILI KWELI, SASA KAMA UNAJUA HILI KWELI SIUNGEWEZA KULIWEKA HATA BILA YA MIMI KENYE LIST YAKO?
 
Asante Mkuu kwa kutambua kua ndoa ni msalaba ambao ni wa maisha...sasa kwakua sio lazma ...hakuna haja ya kuoa ..hahaha kwakweli kwa miaka hii...si jambo jema kukimbilia misalaba..
Merci'
 
kwani kuoa lazima? ...mbn mimi nadunda tu kivyanguvyangu...lakini nilipata kusikia sehemu kwamba "ukimchunguza sana kuku humlii"..sasa sijui ni kweli au ndo maneno ya watu tuu.
 
sio kuku ni bata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom