Tabia ya kutisha aliyoanza rafiki yangu wa kike

Tabia ya kutisha aliyoanza rafiki yangu wa kike

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Rafiki yangu wa kike (marafiki tu wa kawaida) ambaye anafanyakazi moja ya halmashauri hapa jijini Dar ameanza tabia moja ambayo siielewi kidogo, yeye anasema ameanza hivyo baada ya kusalitiwa na aliyekuwa awe mume wake.

Amekuwa akiingiia kwenye social networks anatafuta wanaume anawasiliana nao na mara nyingi wanaume hao huishia kumtongoza na baadae huweka appointment za kugegedana.

Lakini wakifika mahali husika (hotel au nyumbani) yeye hufanya kila namna anayoweza ili mwanaume avue nguo kwanza na baada ya hapo anajifanya amepandisha majini.

Hivyo mwisho wa siku mwanaume anaishia kupiga makelele na kukimbia, anasema anafanya hivyo makusudi ili kudeal na wanaume wanavamia wanawake ovyo ovyo.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Hahahahahah huyo kweli mwambie atafute style nyingine, yeye ajiulizi kwa nini vichaa wengine wanapata mimba sembuse yeye kupandisha majini?
Mwambie ipo siku atagegendwa pamoja nakupandisha kwake majini, atapewa mgegendo huo ambao hajawai upewa then yeye ndo atamuaona mshkaji kapandisha majini badala ya yeye!
Cc misschagga tabibumtaratibu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha mwambie asijal ntaenda na tunguli kabisa akipandisha na mm nakua mganga nayashusha mashetan yote af tuone nan msanii
 
sasa hiyo tabia ndo umeona ya kutisha? alafu kumbe lengo la kufanya hivyo linafahamika
 
Huyo dawa yake ni kwenda na udi halafu inamshika sikio basi, unapata mgegedo wako
 
Aaah huyo juzi rafiki yangu alikutana nae ila alimgegeda hivyo hivyo halafu akamsifia ni mtamu kwa kweli
 
Hahahahahah huyo kweli mwambie atafute style nyingine, yeye ajiulizi kwa nini vichaa wengine wanapata mimba sembuse yeye kupandisha majini?
Mwambie ipo siku atagegendwa pamoja nakupandisha kwake majini, atapewa mgegendo huo ambao hajawai upewa then yeye ndo atamuaona mshkaji kapandisha majini badala ya yeye!
Cc misschagga tabibumtaratibu

na akikutana na mimi tabibu mtaratibu, naanza kumtibu majini yake yakikataa kutulia....nagegeda yeye na jini.....kwani sh ngapi!!!!!...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom