Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niwatakie jioni Njema wanajamii, wakati huu mkiwa ktk harakati za kumaliza kulitumikia taifa jioni hii, hebu ongeza kidogo ktk maarifa yako. Kama wewe ni FIRST BORN! Hii inakuhusu: Hii ni kwa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Najua neno langu sio sheria, siwezi wakataza msiwe na michepuko. Ila wewe mwanamke ambae umefanywa mchepuko na mume wa mtu, kwa nini unajiachia tu na mume wa mtu bila aibu? Ni heri uwe hujui...
12 Reactions
92 Replies
10K Views
Kwakweli MMU kumekuwa na malalamishi sijui masikitiko mahuzuniko meengi yani kila kukicha mabalaa yanaongezeka but thanks God wengine yameshawatokea masikioni wanaamua kuja kutupa tahadhari wana...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
acha tumshukuru Mungu kwa wema wake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipi ni bora na inayofaa? kuwa na msaidizi wa ndani ambaye ni binti mdogo (chini ya miaka 20 hivi) au kuwa na msaidizi wa ndani ambaye ni mama mtu mzima (zaidi ya miaka 50 hivi)? Kwanini wengi...
6 Reactions
124 Replies
10K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 45,natafuta mke hasiyependa Ngono
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 20. Nina mpenzi wangu wa miezi nane. Yeye ni bikra lakini mimi sio. Sasa inaleta shida nilipomwambia nimesha sex mara Sita na wanaume watatu tofauti. Basi ni manyanyaso...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Huwa ni furaha sana kwa mume na mke mkikutana mnapendana kwa dhati. Upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, hautakabali, hustili wingi wa makosa. Ni haraka na changamoto za maisha...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni kweli kwamba wataalam wamefanya tafiti na kubaini kwamba wanaume wakiwa manene na kitambi uwezo wa kimapenzi hushuka sana?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze...
1 Reactions
128 Replies
19K Views
Kaka zangu please remember to trim some of the hair on you especially pubes. Tunajua sisi ke tunawachanganya sana the way mnashinda humu kutafuta na kuandika mapungufu yetu, it's ok but find...
9 Reactions
172 Replies
18K Views
Habari wana MMU ninatafuta mchumba( Mwanamke) Vigezo Awe wa wastani siyo mrefu au mfupi sana,degree moja ya social issues au hata akiwa na mbili it's fine Awe mcha Mungu,Christian will be an...
0 Reactions
318 Replies
22K Views
Hellow JF Huyu binti nilikuwa nawasiliana naye kwanza kwa PM. Hadi tukapanga naye niende kumtembelea Zanzibar. Jumamosi iliyoisha nikafunga safari hadi bandarini. Mpango ulikuwa ni kwenda...
15 Reactions
258 Replies
23K Views
Mi ni me(26yrs),natafuta mwanamke wa kuchumbia mpaka ndoa,nipo muleba kagera.sibagui dini,elimu na umri ila asiwe bibi.mi ni degree holder,kwa aliye serious ani-pm.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana MMU poleni na majukumu ya kila siku. Tujikite kwenye ukweli katika mada hii; Ni dhahiri kuwa kila mmojawetu amezaliwa na mwanamke. Kama ndivyo, KWANINI HATUKUPEWA JINA LA MZAZI LA MAMA NA...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wana MMU. Binafsi nimekua najiuliza sana kuhusu kuoa wake wengi! Hivi mume unakua kweli una wapenda wake zako sawa sawa!? Na je wake ni kweli wana mpenda mume wao na bila...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wana JF, naombeni ushauri wenu kwani mke wangu wangu nimemchoka kimapenzi. Hana mvuto tena kwangu. Mwanzoni nilimpenda sana ila sasa nimemchoka. Nimeishi nae miaka mitano mpaka sasa. Tuna watoto...
1 Reactions
308 Replies
35K Views
Hanipendi kisa mpenzi wangu wa zamani anamahusiano na kaka yake. Kaniita na kunielekeza kuwa mpenzi wangu anatembea na kaka yake. lakini mimi nikamuuliza mahusiano yetu na yao yameanza yapi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Namshukuru sana mungu kwa kunipa nafasi ya kuongea nanyi kwa maandishi. Mimi ni mwanaume miaka 33, nina watoto 2, elimu yangu ni chuo. Mwaka 2004 nilianza kazi kama Mwalimu, mwaka 2005 nikaoa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…