Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

fahim

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
54
Reaction score
6
Mi ni me(26yrs),natafuta mwanamke wa kuchumbia mpaka ndoa,nipo muleba kagera.sibagui dini,elimu na umri ila asiwe bibi.mi ni degree holder,kwa aliye serious ani-pm.
 
Mi ni me(26yrs),natafuta mwanamke wa kuchumbia mpaka ndoa,nipo muleba kagera.sibagui dini,elimu na umri ila asiwe bibi.mi ni degree holder,kwa aliye serious ani-pm.
kumbe kuna mabibi wapo single
 
Bado haujaongea lugha pendwa,acount inasoma figure ngapi?
 
Mi nilijua unatafuta chumba kumbe mchumba,waambie wenzio napangisha huku mabibo
 
Back
Top Bottom