Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Huwa ni furaha sana kwa mume na mke mkikutana mnapendana kwa dhati.
Upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, haujivuni, hautakabali, hustili wingi wa makosa.
Ni haraka na changamoto za maisha zinatufanya tuwe na haraka ya kuwa na wenza. Mara nyingi mihemuko ya mwili hutusukuma matokeo yake tunaangukia katika mikono isiyo salama.
Ni hayo tu.