Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Habari za Jumapili wana MMU. Binafsi nimekua najiuliza sana kuhusu kuoa wake wengi!
Hivi mume unakua kweli una wapenda wake zako sawa sawa!?
Na je wake ni kweli wana mpenda mume wao na bila kuona kinyongo!?
Binafsi naamini mapenzi ya mtu mmoja at time! Wenye experience ya ndoa za aina hii please let's share this!!