Ninae girlfriend wangu, tulipanga tutoke siku ya weekend mimi nikakubali ila ilipofika hiyo siku nikalazimika kuairisha zoezi kutokana na kutingwa na mambo, however nilikutana na huyo girlfriend...
CHAKE NI CHAKE
Kinachopita ni chake, hata kama si cha kwake,
Chochote kwake ni chake, hata kama cha mwenzake,
Ukicheka usicheke, akikipenda ni chake,
Yeye chake ni cha kwake, cha kwake si...
Habari wana Jukwaa Pendwa.
Leo sina Jipya ila kuna hili suala la wanawake ambao wamekwisha kuolewa.
Topic Yenyewe.
Ni kawaida kwa Jamii yetu ya Kitanzania mwanamke anapoolewa anakuwa siyo mali...
Jana niliona kwenye yahoo video moja ya kuchekesha na kusikitisha.
Kuna mtoto wa miaka saba ameiba gari ya baba yake wa kambo na kuanza kuendesha kwa speed ya ajabu huko US.
Jamaa mmoja...
Sifa pale inapostahili jamani tuwe tunawapa wausika. waislamu tumekuwa tunasimanga sana kwa ukatili. mabomu ya kujilipua wenyewe, mara sijui nini, jana nimepata bahati ya kusikia mawaidha kuhusu...
Ukihisi Chunguzi zangu zimekuzidi umri pita kimya kimya
____________
Kuna tabia ambayo ipo sana kwa wanawake wengi ambao wameajiriwa katika maofisi mbali mbali, tabia hii ni kununua nguo, viatu...
Hi guys wazima humu?
As for me am ok miss u sana mambo mengi nashindwa kujumuika nanyi humu ndani.
Samahani kama ntawaboa baadhi yenu kwa kuchanganya lugha just know kiswahili isn't my first...
Jamaa yangu wa karibu ameoa na wana watoto watatu.
Miezi miwili iliyopita wife kamuaga anaenda kwa dada yake kumsaidia kwani yu mgonjwa.
Jamaa akamruhusu bila hiyana. Baadae mchana katika...
Kuna mambo ambayo watu wengi hususani vijana walioajiriwa kwasababu ya kukosa cha kufanya wanajikuta wakiajiriwa kufanya kazi wasizozipenda au pengine zakulazimishwa.. nimesoma mahali kuhusiana na...
Hili nimelishuhudia, baada ya kumpa nafasi ya kupata elimu ya utaalamu na kupata ajira,wasomeshaji hupigwa chini, na bibie kujichanganya mbele kwa mbele
Jamani enough is enough miaka 31 na bado kila mwanamke namwona si chaguo langu, ni yupi mungu ameniandalia mimi kuwa wangu wa maisha?? Je ni wewe mdada unaesoma hii meseji?? C'd it be you? Nina...
Unakuta msichana anajua kabisa wewe ni senior bachelor ila anakuja kwako mida ya jioni atakaa hapo kihasarahasara mpaka nne usiku.
Atakunywa pombe zako na msosi atapiga, movie ataangalia ukitaka...
Trying to understand men when it comes to cheating is like trying to solve a Chinese puzzle when you cannot read Chinese.
It is always difficult to understand why a man will cheat, especially on...
Maneno haya niliambiwaga na marehemu bibi yangu,
Mwanamke usiwe malaya kutembea na wanaume hovyo, sio sifa na pia usishindane na mumeo eti yeye akitoka kuchepuka na wewe unachepuka , wanaume...
Mimi ni kijana wa miaka 22, ni mtu wa kujituma na kuhustle katika life..natafuta girlfriend mzuri mwenye upeo..ambaye tunaweza tukasaidiana kimapenzi na hasa hasa katika michakato ya kimaisha...
Nimeolewa sasa mume wangu ana mdogo wake wa kike ambae ni mtoto wa kaka yake baba yake(bamdogo) wake hatuishi nyumba moja ila ni ndani ya mji mmoja sasa huyu binti hapa mjini anaishi na mdogo wa...
nmenukuu kutoka mahali fulan kisa cha hyu dada na ndoa yake:
HII NI KWA WALE WANAOTOA TIGO ZAO, WAAMBIE TIGO ZINA MADHARA HASA KWA WANAUME WENYEWE,,,, MIE YALIMKUTA MME WANGU ILA FICHA JINA LANGU...
Ukweli ni kwamba, kuna wanaume wanaoshikwa nawake zao. kushikwa maana yake ni mwanaume kufujwa yaani kudhalilishwa kwa kauli na vitendo na bado mwanaume akaendelea kungangania kwenye uhusiano...