Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana jamvi kuna msemo kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa wanaume wote rijali ni Polygamous au wengine wanasema ni womanizers au kwa kiswahili kizuri wanaume rijali ni wanapenda...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Here are the ten taboo relationships that may cause people to raise an eyebrow. Who have you dated that his "taboo"? 1.Your boss. It is often deemed as unprofessional but I have seen situations...
6 Reactions
143 Replies
12K Views
Habari wana MMU Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Za mchana wana MMU nina imani ni wazima wa afya na tumshukuru mungu kwa kutuamsha wazima. Nitatumia majina ya kubuni ili nieleweke vizuri. Jamani kuna thread nilianzishaga humu kuwa kuna rafiki...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadada wa JF mnanichukia hivyo au kwa sababu ya post zangu za kuwananga ,huwa nawatania tu maana nimepost kutafuta mke humu naona mnapita kimyakimya no like no reply no PM msinifanyie hivyo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tumekubaliana mimi na mke wangu kuwa; mmoja wetu akirudia kosa mara mbili, mara ya tatu aandike maelezo yakae kwenye maandishi, na tuwe na file la pamoja la barua hizo kwani ushahidi wa maandishi...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Hallow wana MMU, nahitaji msaada kwa hili linalonitokea kwa sasa. Kuna binti niko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa saba sasa, kwakweli nampenda sana na yeye analijua hilo, tatizo lililopo sasa...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Wadau kuna binti tunafanya naye kazi tuko vitengo tofauti, sasa nilirusha ndoano cha ajabu yule binti aliniambia subiri alafu akaenda kuwaambia wenzangu kwenye kitengo changu kuwa nimemtongoza kwa...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Mimi najua kuwa kusimamia harusi ni shughuli siyo ile ya ukumbini bali shughuli yake ni siku mambo ya hao wapendanao yanapoenda kombo maana najua wasimamizi ndiyo wanakuwa watu wa mwanzo kuelezewa...
5 Reactions
137 Replies
16K Views
Mimi Ni Kijana Mwenye Miaka 24 Natafuta Msichana Wa Kuoa mwenye Sifa Zifuatazo. 1.Umri Ni Kuanzia Miaka 18~22, 2.Awe Na Tabia Nzuri 3.Asiwe Anapenda Sana Pesa 4.Asiwe tapeli...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Kwanza niwasalimu kwa salamu ya Upendo na Amani. Siku hizi kumekuwa na tatizo la watu wengi kufunga ndoa huku mwanamke akiwa tayari na mimba hata ya miezi saba au sita, yaani ile honeymoon...
0 Reactions
71 Replies
20K Views
Kwa wale ambao wameshaona movie ile ya titanic kuna sehemu katika movie hiyo ambayo sikubaliani nayo kabisa eti unakufa kwa sababu ya mwanamke Kwangu hamna kitu kama hicho yaani Jack anamuachia...
0 Reactions
62 Replies
51K Views
Heshima kwenu wote. Kama mnavyojua wengi wetu waafrica unapofika miaka 30 wewe ushafika fainali ya ujanja ujanja. Hapo ndio watu wanaanza kukutegemea rasmi kimawazo, kikipato na kwa mambo...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena kuwapa...
8 Reactions
103 Replies
12K Views
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwenye kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa. They are real in love. Naombeni mawazo yenu katika hili.
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Mkazi wa kiseke jijini Mwanza Amemkata Mke wake usiku akiwa amelala kwa sababu ya wivu wa mapenzi, Mume wa Mwanamke huyo aligundua kuwa mke wake ana mahusiano na mwanaume mmoja hapa kiseke, usiku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Malezi ya mama, elimu ya mama haina ada wala cheti, ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikilia usiku mama lazima utakesha na mimi Huwezi kukubali niwe macho...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Salamu wana bodi natumaini ni wazima bukheir na munaendelea kulisaka tonge ili mkono uwende kinywani na watoto waendelee kukimbilia chooni. Ama baada yasalamu nawaomba kila mmoja wenu aniombee...
2 Reactions
49 Replies
14K Views
Juzi kati nimeamua kumtoa mke wangu out, tukaka mahala tukawa tunakunywa soda pale na ka nyama choma, tukawa tunabadilisha mawazo,akaanza kuniuliza kwa nini moyo wangu unampenda nikamjibu imetokea...
0 Reactions
146 Replies
17K Views
Msaada wana Jamiiforums kufahamishwa dalili za awali zinazo ashiria sio muda mpenzi/mwanamke wako anakupiga chini sio muda mrefu kwa sababu sielewi elewi zisije kuwa ndo nazo ziona mimi ila...
1 Reactions
61 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…