Nakukumbuka sana mama yangu.
Simzunguzii yule mama ambae alichindwa kujua jukumu lake abaada ya kuzaa na kulea kwa miaka michache kisha akamtelekeza mwanae
Namzungumzia yule mama ambae nasikia...
Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno...
Miaka mitano hapo nyuma nilizaa na mwanaume ambaye alikuwa Mume Wangu , Baada ya mtoto kufika miaka 2 tuliachana kila mtu akawa na maisha yake ila si kwa talaka ni mie niliondoka kwake nikarudi...
Kuna kitu nime ki experience nikafikiri huwa kinanitokea mimi kumbe tuko wengi. Ukishakuwa na mwanamke kwa muda mrefu lets say from weeks or month hata kama ni mchepuko, iko siku mtatumbukiza kama...
Nawakilisha kutoka kwa jamaa yangu moja anaomba ushauri jamani.
Girlfriend wangu kajaliwa mwaka jana lakini mwezi jana nilienda kumtembelea maana yeye anafanyia kazi Tabora na mimi nipo Mbeya...
Linapokuja swala la usaliti wadada wengi huweza kuwasamehe wenzi wao wa kiume kiurahisi tu huku wakiamini kwamba na wao kuna uwezekano mkubwa wa wa kusamehewa na wapenzi wao wa kiume endapo swala...
Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
Najivunia kuzaliwa KILWA kwenye watu wa kwanza kutumia PESA Afrika, nyumba za kale, mapango ya asili, chanikiwiti, Bahari, visiwa, rasi, ghuba, Gesi na vijiji km Kivinje, Kikole, Kipatimu...
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa...
U hali gani mpendwa msomaji wa makala haya,kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya njema,namshukuru Mungu kwa kuniwezesha katika mambo mbalimbali yanayotukumba katika dunia hii...
Kwa uchunguzi nilioufanya kwa zaidi ya miaka mitatu, ndani ya JF, nimebaini kwamba wanawake wengi wanataka sana kuolewa lakini, tatizo kubwa linalowakwamisha, ni kwamba huenda thamani zao...
Jamani wale wadau wa kudumu wa MMU hebu nisaidieni la kufanya hapo.....
Ule mchepuko wangu wa kwny daladala niloulipiaga nauli halafu nikarudiahiwa na jamaa yake, c jana tulikubaliana tena...
Habari zenu jamani, wakubwa shikamoo.
Natumai wote mko fine, ngoja niwape kisa hiki mwenzenu maana nina bahati mbaya kweli na wanaume.
Kuna kaka mmoja tulisoma nae o-level, akaanza kunitongoza...
Je wajua! Wanawake wenye nyonga pana au hips,zaidi ya sentimita 36 wanakuwa na mahusiano mengi ya wanaume kuliko wale wa hips ndogo chini ya sentimita 31?Hii imeonekana katika tafiti ya...
Wajamani nitakufa.
Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu.
Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki.
Kwa bahati...
Jamani msaada.
Hivi ukiwa na mkeo tena mna watoto wawili na mwanzoni ulikuwa unamwamini sana ila sasa unakosa kumwamini kutokana na vitabia flaniflani unafanyaje?
Je unaweza kumwambia live au...