Nina dhambi nyingine sio uzinifu

Nina dhambi nyingine sio uzinifu

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Wakuu miaka 28 si midogo, baada ya uvumilivu wa muda mrefu hatimaye Mungu amenifanikisha kuingia katika taasisi ambayo vijana wengi wanaiogopa(ndoa)

Kwa ufupi mimi na huyu mwenzangu tumedumu katika uhusiano 4 yrs ingawa tulikuwa tukifahamiana tokea zamani.uhusiano wetu haukujengwa katika misingi ya kingono hivyo wote tuliamua kusubiri mpaka ndoa kwa miak yote hiyo(wazinifu wataponda)

Nitakuwa si mtu mwenye fadhila kama sitomshukuru Mungu kwa kuniepusha na mdudu mchafu zinaa kwa muda wote huo na kunipatia wife mrembo,anayejiheshimu, mwenye kujua dini, aliyeelimika kutokana na elimu aliyoipata na anayejua maisha ni nini kwa ujumla.

Mwisho ninawaambia vijana wenzangu kuwa, mahusiano bila ngono yanawezekana hadi yakafikia ndoa. kama wote wawili mkiwa na imani ya kweli juu ya mwenzake.

Msiwachezee mabinti za watu kisha kuwaacha na kuanza kuwapa majina ya ajabu. na nyie kina dada mjifunze kubana miguu yenu kama alivyofanya wife yangu sio kila me unamchanulia...matokeo yake mnakuja kulalamika kuchezewa na kuzeeshwa kila siku.

Mnakaribishwa wote kwenye sherehe ya harusi weekend hii tarehe 28/9.

Asanteni
 
Waifu wako alibana miguu kwako ila kwa wengine alilegeza. Btw hayo mahusiano ya jinsi hiyo siyataki wala sitakuja kuyafanya.
 
Wakuu miaka 28 si midogo, baada ya uvumilivu wa muda mrefu hatimaye Mungu amenifanikisha kuingia katika taasisi ambayo vijana wengi wanaiogopa(ndoa)

kwa ufupi mimi na huyu mwenzangu tumedumu katika uhusiano 4 yrs ingawa tulikuwa tukifahamiana tokea zamani.uhusiano wetu haukujengwa katika misingi ya kingono hivyo wote tuliamua kusubiri mpaka ndoa kwa miak yote hiyo(wazinifu wataponda)

nitakuwa si mtu mwenye fadhila kama sitomshukuru Mungu kwa kuniepusha na mdudu mchafu zinaa kwa muda wote huo na kunipatia wife mrembo,anayejiheshimu, mwenye kujua dini, aliyeelimika kutokana na elimu aliyoipata na anayejua maisha ni nini kwa ujumla.

mwisho ninawaambia vijana wenzangu kuwa, mahusiano bila ngono yanawezekana hadi yakafikia ndoa. kama wote wawili mkiwa na imani ya kweli juu ya mwenzake. msiwachezee mabinti za watu kisha kuwaacha na kuanza kuwapa majina ya ajabu. na nyie kina dada mjifunze kubana miguu yenu kama alivyofanya wife yangu sio kila me unamchanulia...matokeo yake mnakuja kulalamika kuchezewa na kuzeeshwa kila siku.

mnakaribishwa wote kwenye sherehe ya harusi weekend hii tarehe 28/9.

asanteni

agape love
 
mhhh hapa nawaza ule mchezo ulivyo mtamu....4yrs??
Kaka nyie ndo mnaokuwaga vi.tombi uzeeni.
na hapo ulipo huna uzoefu wowote as mechi za mchangani zilikupita
 
unakaribisha bila kuweka details za hiyo arusi, update details uone wazee wa ubwabwa tutavyojaa kuliko ndugu zako! After all if its true.....be blessed brother😛
 
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?

Ahhahahaahha Khantwe umenchekeshaaaa ila kuna ukweli ndani yake ndio maana mwanaume mnakua wapenzi for years alafu unastukia kaoa mwengine infact unakua huna jipya.......
 
Last edited by a moderator:
Waifu wako alibana miguu kwako ila kwa wengine alilegeza. Btw hayo mahusiano ya jinsi hiyo siyataki wala sitakuja kuyafanya.

wewe ndio mwenye kuamua uishi vipi, kwa.wengine utapata ushauri tu...haulazimishwi kuufata...
 
mhhh hapa naweza ule mchezo ulivyo mtamu....4yrs??
Kaka nyie ndo mnaokuwaga vi.tombi uzeeni.
na hapo ulipo huna uzoefu wowote as mechi za mchangani zilikupita

hakuna aliyezaliwa na uzoefu mkuu...
 
aiseee Tyta pita pande hizi kidogo huyu jamaa ametudanganya kuhusu ku do yule mchepuko aligoma
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mkuu....mahusiano bila ngono yanawezekana....hata honeymoon yenu itakuwa ya ukweli sio watu mmevuana picchu miaka mitatu af mnaenda honey moon what for?

Kwani honeymoon ni kwa ajili ya kutoana bikra...m
 
blood fool .......

unajiita mutant gene , kwahiyo hapa umemutate siyo?

hiyo ni zinaa gani uliyoiepuka ?

hii mimba ya mchepuko wako imeingilia miguuni?

https://www.jamiiforums.com/mahusia...mchepuko-amekomalia-hataki-ndoa-ifanyike.html

.hahahaha aibu aibu kwa kweli huu uzi angeweka sawa kidogo ungependeza mana kuna kitu hapo kina ukweli na ni muhim sana iapokua kaharibu kabisaaa kujifanya saint fulani hicho kichwa cha habar tu chatosha kuwa huyu mtu ni mnafiki hata ukitoa sadaka watakiwa mkono wa kushoto usione (wengine) itakua haya mavijuvuno na kujifanya mtakatifu?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa! WATU WOTE WALIVOKUWA WANAO SIKU YA HARUSI WALIJISIKIA HIVO!

Waulize siku ya DIVORSE watu wale wale EXCEPT mawazo yao juu ya mtu yule yule yamebadilika kabisaaa! Naweza sema mawazo yao in a polite yamegeuka HOSTILE!:A S wink:

Im not bring7ng ghosts in your ship, but all i can say is USIMTUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO!

Otherwise it is a happy thing, it calls for a celebration. :tea::tea::tea::tea::tea:
 
Back
Top Bottom