yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Wazee hope mko pouwa.
Kwa kitambo nimekuwa busy na mchakato ya maisha so two months iliyopita nimerudi jukwaani niliyoyakuta ni aibu hata kuwaeleza.
Sorry mwanzoni nilikuwa nadhani nimeingia jukwaa la utani na vichekesho kumbe nilikuwa wrong...! nilichokuwa nakiona na kukisoma kilikuwa kwel.... back to our topic yaan thread zinazowekwa jukwaan zinatia uvivu hata kuzisoma et mwanaume mzima anamwambia mwenzake et mwanaume kuhonga..... mara utisikia mwanaume unapoombwa pesa hutakiwi kujulizaliza... oohh nikimukuta wife wangu na wanasiasa namsamehe... mmelogwa au mnavunga tuu.. kwanza kwa taarifa yako hata wanawake wenyewe wanawashangaa... mwanaume mzima unaleta uz wa kijinga jinga hebu achen mambo ya kizamani.. cku hiz hata wanawake wako busy na mambo ya msingi sasa we utakuwa mwanaume gan... usiye jielewaaa..tena wengine mmeoa au mpo kwenye mahusiano.. wasomi wazima degree holders au masters unafanya haya... jaman hii aibu kabisa.. kama una honga we honga unavoweza lakn take in ur mind pesa pekee haitosh kulinda pez lako kuwa strong kama mwanaume araaaaa..