The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
Kuna binti mmoja wa kichagga ananipenda sana hata wakati mwingine amekuwa akifanya mambo ya aibu ili anifurahishe.
Amekuwa akiniomba sana tufanye kazi pamoja na hata kushinda pamoja sehemu yoyote.
Lakini shida inaanza pale ambapo rafiki zangu wamekuwa wakiniambia nisimkubalie kabisa kuwa nae karibu wala kumuoa.
Kwani naweza pata shida hapo baadae..
Yaani nitawasahau ndugu zangu kabisa nimejitahidi kujitenga nae lakini amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinijulia hali.
Hata ndugu zangu wamenikataza kumuoa huyu mtoto wa kichagga (rombo).
Kumtema moyo unauma sana maana kanifia kabisa