Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Nina mahusiano na mdada karibia miaka 2 sasa, namhudumia kama kawaida kuanzia mavazi na mengineyo, anaishi kwa dada yake ambae tayari ana mume, kinachoniboa mpaka nahitaji ushauri ni hiki nimemkalisha mara kibao na kumuuliza anajisikia kufanya shughuli gani ya kibiashara nimfungulie aanze kujisimamia.
Kila nikimuuliza yeye anasema hajui afanye nini, kwa sababu yeye kamaliza form 4 nikimwambia nimpeleke VETA akajifunze anachoojisikia hataki, nimemwonya hapa mjini kuna leo na kesho naona hanielewi, nimebaki namshangaa nisaidieni mawazo bana ndugu.