Naomba msaada: Mpenzi wangu anaichanganya sana

Gaga93

Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Mambo humu,

Jamani naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu sasa mwaka wa tatu' tangu nipo kidato cha nne. Kwakweli kipindi hicho chote sikupata yale mapenzi ya dhati. Nlikuwa napata dharau nyingi, matusi, hata kunichanganya na wasichana wengine. Nlikuwa naumia sana lakini sikuweza kumwacha sababu he is ma frst man, na nilimpenda sana, na akili za utoto pia.

Butt now kinacho niuma zaidi huyu mwananume amezaa na mschana mwingine ila wameachana. Nliumia sana tulitengana takribani miezi minne sababu nilikuwa na soma boarding. Ila nlivyorudi likizo alinitafuta na kutumia watu aliniomba msamaha, nami nikamsamehe. Sasa now kinachoniuma zaidi nikimuona huyo mtoto na jinsi anavyospend nae, me simchukii but nahisi kama sitaweza kumpenda huyo mtoto vizuri kama wa kwangu, na huyo mvulana anataka kunioa now. Anasema mimi ndo wake wa milele, mimi now naingia chuo mwaka wa kwanza nahisi kama yele yote niliyofanya nyuma ni ujinga.

Nataka kuachana nae ili niwe happy nami na maisha yangu ili niweze kupata mume bora kwangu na mtoto wetu atakuwa wa kwanza kati yetu, da only kitu nahofia mahusiano yetu yanajulikana kwa watu wengi na familia yake pia, watasema naenda chuo ndio maana nataka niachane nae, ila me siyo kwasababu hiyo ila ni kwa sababu ya kujitambua. Sababu mwenzangu ni form four level.

Nisaidieni
 
Mwenzangu Kwa muandiko huo unachosha wenzio ebu andika vizuri bording gani unasoma?
 
pole sana, ni ngumu mno ila kwa wasichana hasa kama umri wako ni mdogo bado unatakiwa ufanye maamuzi vizuri sana, na ukiwa SELFISH itakusaidia kuamua vizuri, yaani namaanisha upende JIANGALIA wewe kwanza unataka nini, usingalie WATU wengine au mwanaume anataka nini JIANGALIE wewe kwanza...japo ukiwa kati kati ya mapenzi unaweza usifanye maamuzi sahihi lakini jitahidi..UWE SELFISH mwaka wa kwanza bado sana umri wa kuangalia watu wengine wanataka nini Hasa wanaume....kuna mtalamu wa mapenzi anasema wasichana wengi wanaoangalia mwanaume anataka nini badala ya KUANGALIA WAO(SELFISH) wanataka nini huwa na mwisho wa majuto na WATUMWA...japo mapenzi yakikuvaa unaweza usione ..
 
Ungesema unataka kumuacha kwa sababu za uzinifu wake ningekuelewa,ila eti kwa kua ni form four kumuacha kwa hoja hiyo ni ujinga.
 
Wasichana bana yaani mkishaanza tu kutombesher basi akili yote huruka...

Ona sasa mtoto mdogo unahangaika na mapenzi badala ya kuwaza habari zako za kitaaluma kwa maisha mapya ya shule...

Hivi we binti, humuonei huruma baba yako anavyohangaika kukufanya bintiye uondoe ujinga kichwani?

Pumbafuuu kabisa!!!
 
Mambo humu,

Jamani naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu sasa mwaka wa tatu' tangu nipo kidato cha nne. Kwakweli kipindi hicho chote sikupata yale mapenzi ya dhati. Nlikuwa napata dharau nyingi, matusi, hata kunichanganya na wasichana wengine. Nlikuwa naumia sana lakini sikuweza kumwacha sababu he is ma frst man, na nilimpenda sana, na akili za utoto pia.

Butt now kinacho niuma zaidi huyu mwananume amezaa na mschana mwingine ila wameachana. Nliumia sana tulitengana takribani miezi minne sababu nilikuwa na soma boarding. Ila nlivyorudi likizo alinitafuta na kutumia watu aliniomba msamaha, nami nikamsamehe. Sasa now kinachoniuma zaidi nikimuona huyo mtoto na jinsi anavyospend nae, me simchukii but nahisi kama sitaweza kumpenda huyo mtoto vizuri kama wa kwangu, na huyo mvulana anataka kunioa now. Anasema mimi ndo wake wa milele, mimi now naingia chuo mwaka wa kwanza nahisi kama yele yote niliyofanya nyuma ni ujinga.

Nataka kuachana nae ili niwe happy nami na maisha yangu ili niweze kupata mume bora kwangu na mtoto wetu atakuwa wa kwanza kati yetu, da only kitu nahofia mahusiano yetu yanajulikana kwa watu wengi na familia yake pia, watasema naenda chuo ndio maana nataka niachane nae, ila me siyo kwasababu hiyo ila ni kwa sababu ya kujitambua. Sababu mwenzangu ni form four level.

Nisaidieni

Umeanza mapenzi na ngono mapema sana na toka kipindi hicho mpaka sasa yanaendelea kukuchanganya tu! Pole sana sasa subiri kudisco huko chuo kwa ujinga wako wa kuendelea kuwawaza wanaume mallaya
 
Ukifika chuo kila kitu kitaeleweka tu, chezeya. Utaona ulimwengu mpya, watu wapya na mwelekeo mpya wa maisha na hapo ndo utakapobadili msimamo kwa huyo jamaa.
 
Mambo humu,

Jamani naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu sasa mwaka wa tatu' tangu nipo kidato cha nne. Kwakweli kipindi hicho chote sikupata yale mapenzi ya dhati. Nlikuwa napata dharau nyingi, matusi, hata kunichanganya na wasichana wengine. Nlikuwa naumia sana lakini sikuweza kumwacha sababu he is ma frst man, na nilimpenda sana, na akili za utoto pia.

Butt now kinacho niuma zaidi huyu mwananume amezaa na mschana mwingine ila wameachana. Nliumia sana tulitengana takribani miezi minne sababu nilikuwa na soma boarding. Ila nlivyorudi likizo alinitafuta na kutumia watu aliniomba msamaha, nami nikamsamehe. Sasa now kinachoniuma zaidi nikimuona huyo mtoto na jinsi anavyospend nae, me simchukii but nahisi kama sitaweza kumpenda huyo mtoto vizuri kama wa kwangu, na huyo mvulana anataka kunioa now. Anasema mimi ndo wake wa milele, mimi now naingia chuo mwaka wa kwanza nahisi kama yele yote niliyofanya nyuma ni ujinga.

Nataka kuachana nae ili niwe happy nami na maisha yangu ili niweze kupata mume bora kwangu na mtoto wetu atakuwa wa kwanza kati yetu, da only kitu nahofia mahusiano yetu yanajulikana kwa watu wengi na familia yake pia, watasema naenda chuo ndio maana nataka niachane nae, ila me siyo kwasababu hiyo ila ni kwa sababu ya kujitambua. Sababu mwenzangu ni form four level.

Nisaidieni

Achana na mambo ya kijinga.Yaani wewe unaonekana umeanza tabia ya UMALAYA mapema pengine ukiwa bado uko shule ya msingi. Mimi nilitegemea wewe kama mwanafunzi unakuja hapa kupata ushauri how to prepare a good future kumbe ni UFUSKA ...! Very sad indeed....!Shortly,kama ni kuchezea dushelele najua umechezea sana matokeo yake hakuna cha maana ulichopata. Umeambulia maumivu tu.... You better STOP NOW...!Fikiria mambo ya maana.Prepare your FUTURE FIRST...! Kama ni wanaume wapo tu hawaishi.Hayo mambo ya kujifariji eti ma First man ...ni ujinga mtupu.Kwani huyo ni ADAM...? Huyo tapeli wako wa ngono ndo unakuja kusifia hapa eti FIRST MAN...? Hivi wanawake mmelaaniwa au? Acha ujinga Piga shule kwanza...Wahurumie wazazi wako wanavyojikamua ili wewe usome.Halafu unaleta masihara.Shauri yako utakuja jijutia na huyo mzinzi wako...!
 
Naomba nijue ulifaulu vipi? na unaenda chuo gani na kusomea nini ndio nije na comments zangu,
 
Mambo humu,

Jamani naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu sasa mwaka wa tatu' tangu nipo kidato cha nne. Kwakweli kipindi hicho chote sikupata yale mapenzi ya dhati. Nlikuwa napata dharau nyingi, matusi, hata kunichanganya na wasichana wengine. Nlikuwa naumia sana lakini sikuweza kumwacha sababu he is ma frst man, na nilimpenda sana, na akili za utoto pia.

Butt now kinacho niuma zaidi huyu mwananume amezaa na mschana mwingine ila wameachana. Nliumia sana tulitengana takribani miezi minne sababu nilikuwa na soma boarding. Ila nlivyorudi likizo alinitafuta na kutumia watu aliniomba msamaha, nami nikamsamehe. Sasa now kinachoniuma zaidi nikimuona huyo mtoto na jinsi anavyospend nae, me simchukii but nahisi kama sitaweza kumpenda huyo mtoto vizuri kama wa kwangu, na huyo mvulana anataka kunioa now. Anasema mimi ndo wake wa milele, mimi now naingia chuo mwaka wa kwanza nahisi kama yele yote niliyofanya nyuma ni ujinga.

Nataka kuachana nae ili niwe happy nami na maisha yangu ili niweze kupata mume bora kwangu na mtoto wetu atakuwa wa kwanza kati yetu, da only kitu nahofia mahusiano yetu yanajulikana kwa watu wengi na familia yake pia, watasema naenda chuo ndio maana nataka niachane nae, ila me siyo kwasababu hiyo ila ni kwa sababu ya kujitambua. Sababu mwenzangu ni form four level.

Nisaidieni

ni pm me me embu.......maana me me nimekiona ktu in u.........
 
Back
Top Bottom