Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
sipati picha siku wizara ya afya ikitangaza kua tumefanikiwa kutokomeza kabisa gonjwa la ukimwi.
Ambalo lilikua linaleta fitina kwenye mapenzi ya watu.
Binafsi nitafanya sherehe kubwa kwa sababu ata ninapotumia condom bado mashaka hayaniishi mwenzenu.
Ata tunapooana bado mke na Mme kila mmoja anaisi mwenzake atamletea mgonjwa nyumbani.
Kwa ujumla unatuletea ofu kubwa katika maisha ukizingatia umekaa sehemu ambayo ni nadra sana binadam kupachukia.
Siku ukiondoka kama ilivyoondoka NDUI amani itakuwepo.
Sijui wenzangu mnasemaje kuhusu fitina ya ukimwi kwa ustawi wa mahaba yetu.