Habari wana JF.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitamani kuwa na mahusiano serious ambayo yatapelekea. Kama bahati au mkosi mwezi february mwaka huu kuna binti nilionana naye kituo cha basi na...
Natafuta mume WA kunioa tuishi milele inshaala awe muislam,,,umri uwe kuanzia 35 NA kuendelea sitojali kama unamke,,,,maisha yawe at list uwe unayamudu,,,,,awe anaishi far au sehemu yoyote sijali...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi.
Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina...
"HAKI SAWA" ni msemo au wazo lililoletwa na wanaharakati wa haki za wanawake hapa ulimwenguni ili kutengeneza msingi wa mfumo mpya ambao unalenga kumtetea mwanamke kutokana na aina tofauti za...
365 nights of a Tanzanian wife...
60 nites periods.
55 nites headache.
50 nites I am tired.
45 nites I am angry.
40 nites I have to get up early.
35 nites its too late now.
30 nites I am...
Awali ya yote namshukuru Mola muweza wa yote.
Pili naishukuru JF kwa kuanzisha jukwaa hili la LOVE CONNECT.
Bila shaka jukwaa hili limeunganisha wapenzi wengi,japo ni jukwaa ambalo baadhi ya...
Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na...
Nilikuwa nasoma na kusikia ishu za kina Vicky Kamata lakini leo limefika mikononi...
Mdogo wangu alitaraji kufunga ndoa hivi soon shughuli zoote mnazozijua za maandalizi zilifika ukingoni...
Siku...
Heshima zenu.
Jamani kuna jirani yangu baba flani hapa hurudi nyumbani kalewa chakari kila siku, na humpiga mke wake tena mbele ya watoto wake.
Kila siku majirani tunasikia watoto wakilia kisha...
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe...
Habarini za wikend great thinkers, heshma yenu.swali> Hivi ni kweli kuwa wanawake wote wanaoingia katika ndoa wana mapenzi ya dhati kwa waume zao au kuna sababu nyingine zinazowavuta kuingia...
Nilikua na boyfriend wangu tukaachana akaja kuoa, sasa alikua na mdogo wake, akawa anamtaka rafiki yangu akanambia nimuunganishie ndipo tukapeana namba za simu na kweli akafanikiwa kumpata sababu...
Kuna mambo huwa siyavumilii na hata kama Mungu hapendi ukionyesha kunidharau huwa narudisha heshima yangu kwa gharama yoyote. Hapana, siongelei habari kulialia kwa sababu ya kuachwa na mwanamke...
Jamani jana usiku nilikuwa naongea na mpenzi wangu ambaye ni mwanafunzi na mda huu yupo shule.but nikagundua kaniweka loudspeaker na rafiki zake wanacheka navyoongea nae nikagundua wanacheka...
Wadau Kama Title Yangu Inavyo jieleza,nahitaji Girlfriend Awe Under 22yrs Same To Me So Nahitaji Girlfriend Wa Umri Huo Ili Tuweze Kwenda Sambamba,
Mengine Zaidi Tutafahamishana Kupitia...